Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Waliosema mwalimu wao wanawake ni kipofu Hakukosea kabisa. Ni ajabu mtu(mwanamke) kumkuta Instagram yupo LIVE yupo kama alivyozaliwa anajishika shika na watu ( Wanaume ) wapo busy wanamwangalia na...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo... Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi wenzangu. Kwa mara ya kwanza naleta kisa hiki cha rafiki yangu wa karibu. Kwanza mtanisamehe kwa uandishi wangu, mimi sio mzuri wa kuandika kwa mpangilio! Shoga yangu huyu...
6 Reactions
429 Replies
29K Views
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Wakuu habarini za time hii? I hope mko gud. Hivi wanawake wenye ndevu wako romantic kweli kwenye relationship. Emu wenye experience na pisi zenye mindevu waseme. Mimi binafsi sina experience...
0 Reactions
5 Replies
482 Views
Jaribu kua na ela alafu usiwe na amani na ukose ule upendo WA dhati ndo itakua hata ukiwa na pesa kias Cha kua afford hizi basic needs za kibinadam zote na luxury pia..Bado Kuna namna ya kukosa...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi? Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa. Hadithi yake ya nyuma ipo hivi " Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia, ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari za wanga! Muda ni 1:00 usiku wa manane, mbalamwezi na nyota zinaonekana vizuri kabisa. Nimeamua kuzima kabisa main switch, ili kuwe na giza totoro. Nimechukua mahitaji yangu ambayo...
10 Reactions
77 Replies
5K Views
Wimbo Ulio Bora 1:2 Kubusu na anibusu kwa kinywa chake, Maana pambaja zako zapita divai. [emoji117]1.Busu Denda pande za lips : Polepole lakini kwa upole tembeza ncha ya ulimi wako kwenye midomo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I hope hamjambo ndugu zangu wote wana JF. Naomba kutanguliza samahani kwa yoyote nitakae mkwanza juu ya hili naomba ushauri wenu nifanye nn? Mnivumilie sio mwandishi mzuri sana. Katika mishe...
8 Reactions
153 Replies
12K Views
Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1...
16 Reactions
33 Replies
2K Views
Habarini za Weekend wana-jumuiya. Wanaume tunapitia mengi sana. Mwaka 2017 nilipatwa na tukio ambalo sitokuja kulisahau ingawa nilishasamehe na maisha yakaendelea. Nakumbuka juzi nilileta uzi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of...
10 Reactions
115 Replies
6K Views
Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you? My father simply couldn’t accept...
21 Reactions
178 Replies
11K Views
Hakuna kitu nafurahia kama kupishana na mwanamke akiwa na mtoto wake wote wakiwa nadhifu na wamependeza unaona kuna combination na bond nzuri kati ya mama na mtoto. Kazi ipo hapa unakutana na...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Nikiwaambiaga watu ya kwamba Afrika tamaduni zetu na dini zetu za asili ni bora kuliko hizi dini zilizoletwa kwa ajili ya biashara ambazo ni ukristu na uislamu huwa wanabisha. Hebu tazama maasai...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu...
28 Reactions
70 Replies
8K Views
Ndoa ni kiungo muhimu zaidi chenye raha na starehe kubwa wahusika wanapochunga mipaka na kutunzana vilivyo. Kwa upande mwingine, huweza kuwa chanzo na masikitiko makubwa maishani iwapo hutatumia...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom