NILIMSABABISHIA MATESO MKE WANGU
Mkurugenzi mkuu wa "Merumba Group"alikuwa ofisini kwake akimsimulia binamu yake Richard mkasa uliomkuta miaka miwili iliyopita.
"Kuna mdada mrembo sana alikuja...
Mpenzi wangu ni mwalimu wa shule ya msingi, alikuwa kabla hajarudi nyumbani anapitia lodge na mwalimu mwenzie ndipo anarudi nyumbani.
Sasa kuna siku nilipewa taarifa na mwalimu mwenzake kuwa...
Jamani kwema?
Nilitoka kidogo nikaacha hela mezani,nikamsisitiza aongezee kiasi fulani kutoka kwenye vikoba vyao ili tupate mchele robo tule wali na chai asubuhi hii. Akaitikia sawa, narudi...
By Dr Levy
Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na...
Maisha yanaenda kasi saana
Kuna dada fulani mtaani kwetu bado ni mgeni. Huyo dada na muonanaga anapita maeneo ya home kila siku asubuhi na jioni. Anatusalimia na kupita zake
Jana akapita baada...
Waliona walivyokuwa wakipendana
Wakawakubalia kuwa pamoja mwishoni
Wakafunga ndoa kubwa
Ilikuwa nderemo na vifijo, vibwebwe na vigoma
Wakapata watoto
Na wakaishi kwa furaha maisha yao yote...
Habari za wakati huu ndugu zangu
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ , sijaoa na wala sina mpenzi wakudumu yaani mwanamke wakuoa bado sijapata..
Nimekua nikikutana na hali ya huzuni sana na...
Hatari sana wakuu,
Ni hivi nilikuwa nina mpango wa kupata pesa fulani na wife alikuwa anajua hilo. Nilipata ile pesa ila kwa kuhafilika sikupata nafasi mzuri ya kumuambia wife.
Basi tangia jana...
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!
Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume...
Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango...
Habari zenu Wana Jf
Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na...
Hawa wadudu wanatuendesha kila kukicha.
Umewahi kukutana na kauli za kukera, kuvunja moyo ama kuujaza moyo hasira, kukatisha tamaa kutoka kwa mwanamke?
Baadhi ya kauli ambazo zinanikera ni ile...
Habari? Kama uzi unavyo jieleza hapo juu uliwezaje kukwepa fedhaha ya kumtongoza ndugu wa mkeo bila kujua? Leo mimi yamenikuta mwenzenu, nimemtongoza ndugu wa mke wangu bila kujua. Leo niko zangu...
Iko hivi wanawake ambao wapo single age 30 and above na waogopa sana, maana Kuna muda Kuna muda najiuliza itakuaje pisi Kali kama hii afu ipo single. Sasa unapokuja kuanzisha nae mahusiano ndo...
Habari za J Pili hii, kama nilivyotamka kwenye uzi wangu hapo awali, ya kuwa hawa wanaume wenzetu wanaojifanya wao ndiyo wao, hawashauriki wala hawasikii ya kuambiwa, hasa wakishauriwa kuenenda...
Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili...
Kutokana na kampeni hasi dhidi ya taasisi ya familia, kuna umuhimu wa wenye experience chanya wajitokeze kuitetea taasisi hii muhimu.
Naomba wenge uzoefu watusaidie kutufundisha ili tuiokoe...
1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club...
Kila nikiangalia video youtube nakutana na wanaume wafupi tu, instagram kila mwanaume anae post picha ni mfupi. Hivi tanzania hakuna wanaume warefu? Kwani mnakula nini mpaka hamrefuki? Raha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.