Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
J pili njema kwa ndugu zetu Wakristo.! Mfungo mwema kwa ndugu zetu Waislam!. Huyu ni wa 11 naye amenichukia ghafla tu bila sababu. Hivi mwanaume kujipenda ni dhambi? Mwanaume kula au kuvaa...
3 Reactions
4 Replies
793 Views
Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na...
37 Reactions
96 Replies
5K Views
Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe. Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa...
67 Reactions
510 Replies
19K Views
Habari wana member wenzangu..poleni na majukum ya Kila siku...niende moja kwa moja kwenye mada... Mwaka Jana nlipata mdada wa kazi nyumbani kwangu,.kwa kuletewa na wakwe kutoka kijijini.. kwa...
13 Reactions
114 Replies
11K Views
Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado...
22 Reactions
34 Replies
3K Views
Kutongoza ni mchakato. Sio kitendo cha siku moja au saa moja, bali ni kipengele kwenye maisha yako. Huwezi kukikwepa. Labda kama huna mpango na wanawake. Kutongoza kunachukua muda. Kutongoza...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Mungu ni mkuu bwana, kwenye maisha usikate tamaa. Baada ya miezi kazaa kukaa bila mpenzi mwanaume bila mwanamke hawezi, tusidanganyane, ila ni kwa wale tu ambao wako imara, siyo wanaume wapiga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa...
11 Reactions
106 Replies
10K Views
Habarini wakuu ! Leo nimepata muda wa kutulia naomba ni share na nyinyi kisa hiki ili muweze kujifunza kama ikiwezekana. Mwaka 2018 nilienda mkoa K kwa lengo la kutafuta maisha, nlifikia kwa...
60 Reactions
105 Replies
12K Views
Sometimes unaachwa na baby wako kwa sababu ambazo sio za msingi mpaka unahisi tu hapa nimetafutiwa sababu [emoji2]. Funguka, kama yamewahi kukukuta, uliambiwaje?[emoji1787]
10 Reactions
173 Replies
11K Views
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.  Wizi  Utapeli Wake za watu Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa. Me siwezi ata kuwa karibu na...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Binti yuko hapa mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila anajiuza. Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha, ili kanisani aendelee kuaminika. Huko kanisani...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Niliachana na mwanamke mmoja kwa miaka miwili, two weeks ago tumerudiana but home kumebadilika sana. Mlango umetanuka, zamani nilikuwa napita kiupande upande kwa kujibana, sasa waaaaah, ndani...
36 Reactions
283 Replies
11K Views
Hello wanajamii, kuna watu humu ambao maisha yao halisi ni yale ya 'kikaksi' yaani wanasalimiana vizuri na watu, wanasaidia pindi waombwapo msaada, wanajumuika katika shughuli za kijamii n.k...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau. Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Children need strong fathers. Weak fathers have a high probability of raising weak sons. Therefore here are the 10 things every father should give or pass to their kids in the process of grooming...
1 Reactions
3 Replies
288 Views
Good evening, Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi. Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa...
7 Reactions
76 Replies
4K Views
Habari za wikiendi wakuu, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwa linalonitatiza. Kama mnavyojua kuwa kukosea ni sehemu ya maisha na mda mwingine ni njia moja wapo ya kujifunza(sihalalishi...
6 Reactions
90 Replies
8K Views
Men, Don't ever be tempted to engage in gossip because gossiping is a feminine trait. Before you plan to gossip you need to ask yourself this question, "Do you want to be viewed as one of the...
4 Reactions
5 Replies
895 Views
Nellie akiwa na waume zake watatu Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni’, Nellie kutoka Nigeria ameitoa ile dhana ya mwanaume kuoa wake wengi bali mwanamke pia anaweza kuolewa na wanaume wengi...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom