Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Acha kuhamasisha mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( girlfriend na boyfriend) kwa kuwa zinamdhalilisha mwanamke. Na kupitia huo Uzinifu ndipo Wazungu wakaja na mawazo ya kuwa mwanamke...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Je Kuna kosa gan kutaka kumtafuta ex girlfriend wako, Kwa amani tu Kwa lengo la kumsalimia baada ya yy kukuacha kwa Muda mrefu????
1 Reactions
19 Replies
731 Views
Za asubuhi ndugu! Vijana wa kiume, aged 18-45, tafadhali naomba msikie maneno haya. Nimekuwa interested kuandika kwa kuona kwa macho manyanyaso mengi wanayopitia wadogo zetu na ma broo mtaani, na...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori. Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi...
16 Reactions
91 Replies
6K Views
Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike. Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili...
8 Reactions
93 Replies
4K Views
Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni...
12 Reactions
211 Replies
9K Views
Pasi na kupoteza muda, wanawake wamekuwa viumbe wa hovyo kabisa, viumbe wasio na shukrani Wala huruma, viumbe wa binafsi wenye roho ya uuaji. Viumbe hawa wanasababisha misongo ya Mawazo na...
15 Reactions
45 Replies
3K Views
Ifikie wakati wanaume tujitambue tusiendeshwe na mihemko ya wanawake . Mwanamke anataka ushinde juu ya kifua chake zaidi ya masaa matano kwani sisi ni PUNDA nauliza?? Kila mbuzi ale Kwa urefu wa...
2 Reactions
17 Replies
888 Views
Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa...
39 Reactions
95 Replies
13K Views
Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli ...
3 Reactions
85 Replies
2K Views
Hellow Wanawake wengi sana walio olewa na walio na wachumba zao mawazo yao siku zote ni kuwa mwanaume ndio atatangulia kufa then yeye abaki na watoto na yeye ndio atarithi vitu vyote. Why, hayo...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Mwanaume anasemwa kutokana na mafanikio yake. Sio lazima kuwa Bakhresa. Ila ni ile thamani anayoongeza kwenye jamii inayomzunguka. Mtu anayechota maji mtaani anathaminiwa kuliko mtu anayekesha...
7 Reactions
6 Replies
745 Views
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa. Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni...
33 Reactions
283 Replies
11K Views
Habari wana JF. Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila...
16 Reactions
709 Replies
87K Views
Ndugu, juzi nilienda "Kimboka by Night" bar maarufu buguruni shell nikachukua Dada poa wa kulala nae tukaenda gest moja ivi inaitwa sewa gest house ipo buguruni sokoni. Ajabu ni kuwa yule binti...
17 Reactions
82 Replies
6K Views
Wasalaaam, habarini za mchana wakuu? Bila kupoteza muda nimeona niwashirikishe hili kwani kipindi cha mwanzo mliweza kunishauri vizuri sana, ukweli nilipenda sana ushauri wa kila mmoja wenu...
7 Reactions
219 Replies
15K Views
Kwa wale mnatafuta wachumba wema Nimewarahisishia kazi.
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Wasalaam JF, kila shetani na mbuyu wake, mahaba matamu na mapenzi matamu yapo. kipekee raha na utamu uliohuishwa na Barcelona ya Africa (Simba SC ya Tanzania) club ya kibabe kampa kampa tena...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Hapa sitotoa salamu kdg nataka nitumie dakika hizi chache kuandaa jamvi hili liwe kama Kengele ya kuwaamsha hawa viumbe. Wanawake wa sasa Tofauti na wale wa zamani ndio maana Migogoro haiishi...
15 Reactions
117 Replies
4K Views
Habari za jumapili ndugu zangu... Ewe mwanaume kataa ndoa na mwanamke anae weka marangi rangi kwenye nywele au blich,, kataa kabisa kutembea au kuoa mwanamke anae vaa vikuku miguuni huyo ni pasua...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom