Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salamu sana wanaJF. Kama ilivyo kawaida yetu humu jamvini kushirikishana mambo mbalimbali yanayotuzunguka iwe jambo la furaha au huzuni, napenda tuungane pia katika furaha hii niliyonayo katika...
59 Reactions
134 Replies
8K Views
Moja ya vitu ambayo huwa sifanyi ni kukimbia, mara ya mwisho ukiacha leo sina kumbukizi ni lini nilikimbia sio marathon, jogging, mvua au kuwahi sehemu kwangu kukimbia bila sababu za msingi ni...
4 Reactions
9 Replies
814 Views
Waswahili husema ukistaajabu ya musa utaona ya Firauni, Je unajua matumizi yote ya tumbaku ? Mkoani Tabora nchini Tanzania wanawake wamekua wakitumia Tumbaku ili kupunguza hamu ya tendo la ndoa...
0 Reactions
42 Replies
13K Views
Kuna wanaume wanapenda kuwa na wanawake ambao hawawapi changamoto kwenye mawazo yao, yaani wanataka mwanamke ambae watamwambia hii ni nyeusi na akakubali kuwa ni nyeusi hata kama ni kijivu...
20 Reactions
204 Replies
9K Views
Habari ya leo wana jf. Leo nimependa kuwashirikisha kisa hiki kilichotokea mwez wa 10 mwaka huu. Nilikuwa na rafiki wa kuzungu jinsia ya kike, jina lake anaitwa Emine. Anaishi NYC japo asili yake...
29 Reactions
128 Replies
14K Views
Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na...
1 Reactions
3 Replies
849 Views
Kukosa uvumilivu husababisha kuvunjika moyo haraka sana kwa sababu matokeo mara nyingi yanakuwa tofauti na matarajio yetu hiyo huwa ni kawaida kabisa kwa watu wengi ulimwenguni. Usihisi umerogwa...
4 Reactions
0 Replies
455 Views
Habari zenu wana JF, Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia...
27 Reactions
250 Replies
14K Views
Kama unampenda kweli Dada wa watu uliyempa ujauzito akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia " Maternity bag". Ni kweli Serikali imejitahidi sana kuboresha huduma za afya lakini bado...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
4pm. Nikiwa nimetoka kuoga baada ya mchoko wa mizunguko ya hapa na pale. Wakati narejea kutoka mizungukoni nimepitia gengeni nikachukua zabibu za buku mbili. Nikiwa chumbani nimejifunga taulo...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Sio busara kumkabili mchepuko wa mume wako. Usithubutu kufanya hili kosa. Nasisitiza kwa ukali kabisa sio busara kumkabili mchepuko wa mumeo. Nina sababu zangu mbili za kukushauri hivyo; 1...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf, natumai wote ni wazima, acha niende kwenye uzi moja kwa moja. Jana niliongea na wife usiku akaniambia anahitaji kwenda hospital kupiga ultrasound sababu ni mjamzito. Kweli...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Bila kupoteza muda wadau naomba tupeane update hapa. Imagine unaishi na mwanamke kwa miaka mitatu na mnadinyana haswa. Kumbe mwenzio ni HIV+ anakuficha hakuambii. Mwisho wa siku unakuja kumshtukia...
8 Reactions
94 Replies
5K Views
Hivi inawezekana mwanaume kubakwa na mwanamke? Kwa njia gani? Na mpaka mwanaume ana simamisha, si ina maana yeye ameridhia mwenyewe? Hili swali limekuwa gumu sana kwangu naomba majibu yenu.
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar...
19 Reactions
90 Replies
5K Views
__________________________________________ Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na...
4 Reactions
7 Replies
921 Views
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni...
16 Reactions
180 Replies
7K Views
Habari ya wakati huu watu wangu wa nguvu..ninatumia kila mmoja wetu yuko salama kabisa..Kwa mlio hospitali basi ninaachilia roho ya uponyaji mkapate kupona mapema(ukiamini utaokolewa) Haya twende...
46 Reactions
170 Replies
5K Views
Bila kupepesa macho ningependa niende kwenye point yangu ya msingi.. mapenzi yataniua ndugu yenu. Niliachana na mke wangu wa ndoa kwa hasira baada ya kugundua kuwa kwa muda mrefu amekuwa...
18 Reactions
135 Replies
9K Views
Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga. 1. Madam...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom