Mimi sio mgeni hapa JF,
Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha...
Leo nimeamka na mood za kutosha kwakweli.....then nikapita kwenye app ya mdada mmoja maarufu aliyekuwa ameelezea namna ya kufanya kwenye mahusiano unapokuwa na mwanaume ili aone upendo wako na...
Habari zenu wakuu
Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu...
Hello ,
Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar...
Salaam.
October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana.
Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua...
Kama unataka kuwa na mwanamke zingatia ratio ifuatayo;
1. Mwanamke nayependa outing hotels, pamba kali, lavish apartment, simu nzuri na Usafiri.
Rafiki yangu hapo lazima uwe highly paid, waleti...
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana...
Moja kwa moja kwenye mada.
Amini nawaambia kwamba, wasichana/wanawake wastaarabu bado wapo. Unaweza ukajiuliza kwanini wewe hukutani naye, hukutani naye kwasababu unatumia akili za kibinadamu...
mchana huu wa leo niliweka >> uzi huu<< kilichotokea jana mimi (28) nilienda kufunga hesabu, binti wa kazi (19) akiwa kaketi pembeni niliingia tamaa nikaanza kumkiss na kumcaress huku nae akitoa...
Daaah nimeshangaa sana
Kama mada inavyojieleza hapo juu
Kuna mwali bonge bonge guu la bia ila tako pasi
Nikawa na imani huyu japo ana tako pasi ila litakua laini teketeke
Salamaleko nimekutana...
Jana usiku wakati mnaenda kulala mlikuwa fresh tu. Mmelala ila hukumpelekea moto, asubuhi anaamka amenuna. Anaamka anafanya kazi zake za asubuhi hakusemeshi. Kama mna watoto, yaani ni full...
Wakati muafaka wa kutulia katika mahusiano(Ndoa) ilikuwa ni pale ambapo mwanaume ameshaweka akiba ya kutosha au anamsingi mzuri wa uchumi kama kazi nzuri au biashara yakueleweka.
Mambo ya mahaba...
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu..
Bila ya kupepesa macho niwaambie wanaume wenzangu ukweli ulio mchungu kabisa,
Kama mke ulie nae, mpenzi au mchumba hukumkuta Bikra jua kabisa ni mke halali wa...
Hey there, i'm using JF
Wenye imani ya dini kama yangu na wengine ambao upendelea kujifunza vitu haijailishi chanzo cha hayo maarifa natumai tutakuwa tunaifahamu hii hadithi maarufu sana "Ndoa ni...
Mambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume
1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi...
Zamani mwanaume akitaka kumuoa Binti, alichunguza vigezo vingi Sana ambavyo vilipekea Kwa kiasi Fulani ndoa kuwa na amani lakini sasa hivi mambo yamekuwa ndivyo sivyo
VIGEZO AMBAVYO WANAUME...
Habari
Nilikuwa napitia uzi wa member mmoja hapo nimemsikitia yeye na asilimia 90 ya wanaume waliochangia kwenye huo uzi
Mmesoma biblia na qur-an, mungu hakuchukua mabonge mawili ya udongo...
Back in 97 or so after High School,
I knew this girl young and so beautiful
Getting to know her wasn’t so easy I must tell ya
But I won her heart, eventually, yay!
The chemistry, biology, you...
Tumekuwa tukiingia kwenye ndoa au mahusiano na watu tusiowajua historia zao vizuri kiundani na kupelekea kuoa au kuolewa na viumbe wanye tabia za ajabu zikiwepo za kishirikina.
Usilidhike na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.