Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Baada ya kufanya utafiti wa Maika 07. Nimebaini kuwa miongoni mwa mambo yanayorudisha vijana nyuma kimaendeleo ni mahusiano. Mahusiano ambayo hayana mbele wala nyuma ni tatizo kubwa sana kwa...
39 Reactions
156 Replies
6K Views
Asalaam aleykhum ndugu zangu wapendwa, Nina mtoto mdogo wa kiume ambaye tangu alipozaliwa uume ''mashine'' yake haijawahi onekana inasimama hata wakati akiwa anakojoa. Hali ile tulivyoigundua...
59 Reactions
735 Replies
102K Views
Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
18 Reactions
72 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, Hawa wadada wazuri wazuri wenye shepu zao, wanaocheza cheza na kuonyesha maungo yao kwenye mitandao ya kijamii, wanamaanisha wamekosa waume wa kuwaoa na wapo kwa ajili ya...
21 Reactions
185 Replies
9K Views
Kuna huyu mchumba wangu tuna miaka kama nane kwenye uhusiano, kipindi chote nikiwa nasoma almost miaka 5 ya udaktari yaan sijawahi kuwa na pesa kabisa zaidi mimi ndio nilikuwa namtegemea yeye...
14 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu wote. Aisee wakati nipo advance nilipata binti mmoja WA kinyiramba na tulipotezana baada ya Mimi kuhitimu advance nikaenda mkoa mwingine. Ilipita miaka...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Yes ni muhimu sana kushirikiana kwenye tendo la ndoa ili kuongeza furaha,amani kwenye ndoa au mahusiano. Tuwe tunaongea kujua kila mtu apendacho kuanzia romance staili za na mbinu za na kila mtu...
7 Reactions
3 Replies
649 Views
Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi...
10 Reactions
154 Replies
7K Views
Ili neno ndugu zangu msijaribu wa kike na wakiume kwenu. Leo nameletewa barua toka mahakamani bila kujua Mombasa wakati mke wangu Tanzania hafahamu kinachoendelea. Huyu mtoto wa Kimombasa kwa...
3 Reactions
7 Replies
437 Views
Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu. Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo...
12 Reactions
191 Replies
7K Views
Wanaume huwa tunapitia changamoto nyingi sana za kimahusiano, na kupelekea familia zetu kutetereka; na kama hukujipanga vizuri, majuto huwa ni mjukuu. Kimaumbile, mwanaume ameumbwa kutamani, na...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Don’t expect people to be there for you just because you were there for them. The reality is, not everyone will be there for us when we need them, regardless of how much we've done for them in...
6 Reactions
10 Replies
403 Views
Hii ni baada ya kuwashilikisha idea yangu ya kuuza nyumba ya mke mkubwa iliyo kando mwa barabara ya lami ili kufanya miradi mingine ya maendeleo Ni jambo la kushukuru kwa kuwa baada ya mauzo ya...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Happy Sunday to everyone! For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the...
42 Reactions
391 Replies
14K Views
Siku nyingine jua la kawaida na upepo mwanana Kwa mbali.Nimeamka na furaha sana. Nikajiandaa fresh na chukua funguo zangu za JEEP na kuzama ndani ya mkoko wangu Moja Kwa Moja Hadi klabu...
4 Reactions
9 Replies
461 Views
Ipo hivii huu ni mchepuko ambao tulikuna maene yangu ya kazi. Tulibadirishana namba na kuendelea kuangalia status zetu. Basi siku moja alikua kapost yupo out nokakoment "Upo kiwanja kizuri ila...
13 Reactions
50 Replies
4K Views
Haya majina watoto wakike mnaweza kuwa mpo hapa JF ila kwa kweli mnakismart kwa wapenzi wenu ila walishindwa kuelewa umuhimu wenu. Leo naangalia jina ambalo nilikuwa na mahusiano naye...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Mapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia...
8 Reactions
20 Replies
763 Views
Ulimwengu umebadilika sana. Mimi kama kaka yenu nayaona mambo kwa utofauti sana na ninyi ambao hamjakua vema. Kuna vitu vingi sana watoto wa kiume mnaachwa nyuma na jamii haiwapi umuhimu tena...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom