Kuwa na hisia kwa mtu mwingine wakati upo katika ndoa ni jambo la kawaida sana. Hili sio jambo la kimungu, bali ni jambo la kibinadamu.
Kukataa hisia zetu ni sawa na kukataa ubinadamu wetu...
Yaani hichi kitabia huwa kinaboa sana,mtu mmekutana then mkapiga shoo halafu baada ya shoo ukimsoma muonekano wake wa mwili na uso unaona kabisa hayupo sawa japo hasemi anataka nini,..
Mwanamke...
katika kuhangaika hangaika na wanawake , hatimae hawa wanawake wamenichana ukweli.
Ipo hivi katika harakati zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejitahidi sana kuzoea wanawake / wasichana wengi sana...
Nyie wadada, kwa nini huwa mnatudharau pale tunapokuwa tumepauka? Hujui ya kuwa fedha huwa ni matokeo? Leo unaweza kuwa huna, ila siku zijazo ukawa unazo?
Halo, Pendeni sera zetu; hela ni matokeo.
Mimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina...
Wenye vibamia wote,msiwe na hofu fanye ni haya:
1. Jifunzeni sana romance na muwe mnafanya sana sana romance kwa muda mrefu na kwa kila staili.
2. Fanyeni sana mazoezi iki muwe na stamina ya...
Nilikua na project moja nje ya ofisi yangu hii ilikua 2021. Wakati wakufanya hii project ndipo nilipomwona huyu mdada rangi ya chocolate fupi na tako la haja hili kalio ndio lilinichanganya.huyu...
Ni single mother mwenye mtoto wa miaka mi4. Ana umri wa miaka 23. Kipindi cha nyuma alikuwa hawezi pita bila salamu na tabasamu juu yake.
Baada ya kupata bwana aliyeenda umri (Kama 45 hivi)...
Binti yangu kipenzi my second born Atu, amefikisha miaka 18 leo . Sijawahi kujisikia mzee kwa umri wangu huu wa nusu karne.
Katika sherehe yake, nimemwambia mambo matatu tukiwa tunakata keki ya...
Poleni na majukumu ya hapa na pale
Na binti nilie mwelewa katika hizi harakati za kutafuta mke, nilimtongoza na wakati wa kuagana nakumbuka alinijibu hivi.
"Wewe unajiamini sana na unazunguka...
Habari?
Kumekuwa na kesi nyingi kwa wanaume namaanisha mwanaume achana na hawa wavulana nisiseme wanatongozwa hapana naona niseme wanatamkiwa na wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 kua nataka...
Kuna mdogo wangu anapiga mishe mishe maeneo ya Babati na Mbulu, katika mawasiliano yangu na yake akaniambia braza njoo utalii huku maeneo ya mbulu kuna watoto wazuri kuliko hata waarabu...
Kuna mrembo mmoja ivi bhana jana nilimualika Dinner/Chakula cha jioni na nilipika haswaa Pongezi kwa YouTube mana nilipata maujanja ya jikoni kule...
.
Sasa bhana muda wa Dinner namcheki akagoma...
Habari za wakati huu ndugu zangu...
Kama mwanaume naomba sana wanaume wenzangu na wavulana wote tuwaombee hawa wanawake tulio umbiwa na Mwenyezi Mungu kama wasaidizi wetu na hali kadhalika kama...
Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.
Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa.
Hivyo hivyo kwa binti...
Na watakia majukumu mema ndugu zangu.
Wanawake hii kauli ya " nambie " tuwekeni wazi manarithiana huko masaloon au ni dalili mpya ya kutaka kututoa hela na kutukomoa sisi wanaume.
Yani unakuta...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Kama umeangukia kwenye penzi la single maza a.k.a mke wa mtu na unataka kumuweka ndani awe mkeo hakikisha mume wake amekufa na kaburi umeliona pamoja na death...
Kwanza ujipe muda ili kuitatua changamoto yako.
Changamoto na shida zinaweza kutokana na;
Makosa yako mwenyewe kwa kurudia kosa,
Makosa ya wengine mpaka yamekuathiri,
Makosa katika kufanya kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.