Akili ya kuachwa inaweza kusababisha ukafanya kitu cha ajabu ambacho haujawahi kufikiria kukifanya hata cku moja...kuna watu hawakuijua pombe ila walikunywa kwasababu wameachwa.
Wengine...
Ukweli ni kwamba, hutakiwi kujichosha kuwa mwanamume anayemtaka mwanamke hatofanikiwa. Na sio wewe tu, tangu dunia hii ianze hakuna mwanaume aliyefanikiwa kwenye hilo.
Wakati mwanamume anataka...
Hali ya sasa kwenye sekta ya mahusiano ni mbaya sana kusema kweli. Kina dada mnachagua sana wanaume, naweza sema kwenye asilimia 100 wanaohitajika hawazidi asilimia 20.
Hivo vigezo sasa;
1. Uwe...
Mwanaume kumbeba mpenzi wake kuna raha sana, kwanza unamuhakikishia kuwa wewe ni mwanaume halisi/rijali, mpambanaji, mjua mahusiano n.k
Mi nikiwa nipo kwenye mahusiano, lazima nimbebe mpenzi...
Ningependa kushea nanyi njia sahihi na makini ili kulinda ndoa yako dhidi ya michepuko, Hususani kwa wanaume.
Wanaume wengi wanatabia ya kuiga mambo na kusahau kuwa hayo mambo yana utaalam wake...
Habarini za jioni wakuu ni matumaini yangu mko njema kabisa.
Kumekuwa na fikra nyingi ktk jamii zetu mfano ni huu kuhusu tabia flan flan zinazohusishwa na makabila moja kwa moja.
Utaskia watu...
Habari
Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume...
Habari za wakati huu ni mbaya sana..
Mwanamke akishajua tuu unampenda yani mwanaume unakua umeisha wa kuu, jamani vijana hatakama unampenda mwanamke ficha asijue ndugu yangu.
Nb.Sitokaa...
Salaam wakuu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Ipo hivi..![emoji116][emoji116][emoji116]
1. Nikimuona demu akiwa anaongea mdomoni kwake kukiwa na utengenzwaji wa ule ute ute mweupe ambao...
Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu.
Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam...
Advantages of sex.
SEX:-
(a) removes stress
(b) prolongs life
(c) softens skin (aspecialy to women)
(d) inhibits formation of wrinkles and furrows on facial skin
(e) delays ageing.
Sex is life...
Bhna ehee miaka kama mitano ishapita nilijikuta mm ni mteule wa kutumikia elimu ya juu Ikiwa ni mwaka wa kwanza...dooo,,mademu wa kali wapo aisee nilikutana na pisi moja kali sna skuli,ilipendelea...
Unaweza kumpongeza mpenzi wako, ndiyo ni wajibu wako kumpongeza.
Mpongeze mpenzi wako kila siku kwa maneno matamu matamu zaidi iwezekanavyo lakini usitumie kamwe maneno ya ibada yaliyohifadhiwa...
Wana,JF Naomba ushauri wenu.
Nilikuwa nimeoa na huyo mke nilikuwa nimezaa nae watoto wawili,nikapata nafasi ya kwenda kusoma hapahapa Tanzania,Mke wangu ni mwalimu wa shule ya Msingi,nilipokuwa...
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.
Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.
Tatizo kubwa linaweza...
Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto...
Salaam waungwana!
Nina kamchepuko kangu ambako tunapendana vizuri tu (kwa hali zetu, ananivumilia, namvumilia). Huu mchepuko ni mmoja kati ya wale wa kina dada wa kileo wanaoamini katika ufinyiaji...
Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele ..
katika safari yangu ya maisha sikuwah...
Ni siku chache zimepita baada ya kutoka Dubai matembezi ya kufurahisha macho kidogo.
Huku nyumbani nimekutana na Binti mmoja wa kingoni ambaye nilimpenda tokea Moyo ulipomwona Kwa mara ya...
Hamjambo?
Mimi nimeshuhudia mengi humu, hasa ya wanaume wanaolia wakati wa tendo na kulia wakisalitiwa kwa namna moja ama nyingine, binafsi tabia zangu kwenye mahusiano ni mbingu na ardhi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.