Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri. Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane. Dini zetu...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Hapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba. Lakini...
7 Reactions
107 Replies
4K Views
Hii ndio njia pekee ya kutongoza bila kukataliwa Huwa nawaambia wanaume wenzangu. Nguvu kubwa ya mwanamke iko kwenye "Communication". Mawasiliano Wakati sisi tunacheza cha ndimu, wao walikuwa...
9 Reactions
31 Replies
5K Views
Madhara ya Maumivu ya Mapenzi; unakosa hamu ya kula, unahisi huwez kuish tena, unakuwa mtu wa hasira. Unapoteza kumbukumbu, unataka kulipa kisasi, unakuwa addicted na masturbation.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeficha I'd yangu maarufu! Tumetimiza miaka Saba (7) ya ndoa, ni furaha iliyoje tuna familia watoto wa Tatu. Mke wangu tulifahamiana JamiiForums, nampenda sana amenifanya nisahau shida na...
40 Reactions
220 Replies
13K Views
Dah
Dah mitaa Fulani, muda huu naona mke wa mtu ana ingizwa logde na jamaa. #. Kataa ndoa # fear woman
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Katika mavazi yote nguo za ndani ni siri ya mvaaji. Kama imeisha ama la,kama iko safi ama la. kawaida ya nguo hutupwa kila zinapokuwa zimeisha na ni kawaida sana kukuta nguo zilizoisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika jambo ambalo linarudisha nyuma sana maendeleo sio tu binafsi ya mtu , bali ya familia, jamii na taifa zima basi ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa kuishi ndani ya familia. Familia ni...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nilikuwa na miadi ya mdada mmoja ambaye nilikuwa namfukuzia muda ila akaleta maringo nikampotezea. Mimi ni muumini wa dhehebu la KATAA NDOA. Sasa juzi huyu dada akanitafuta vuuu msg akaanza...
6 Reactions
10 Replies
981 Views
Muwe na jioni njema Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R Haijawahitokea Mchepuko akawa pekee na haitatokea kamwe, kiufupi tu Me huwa tunapenda kufa mapema kabla ya siku zetu kwa...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Shughuli ya kuveshana pete nchini Kenya, imenusurika kuharibika baada ya mwanamke Jessica Hawayu kumeza pete ya uchumba ambayo alifichwa kwenye chakula chake (pilau) kwa 'surprise'. Mpango kati...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Napenda kutoa shukurani zangu kwa Wana JF wote, Mlionipa ushauri, juu ya njia panda niliyokuwepo. Maumivu ya Mapenzi na hisia niliyo kuwa nayo, na washukuru sana. Sasa nimeamua kuwa mtu huru, na...
1 Reactions
8 Replies
432 Views
Yani utakuta unamfukuzia mwanamke mpaka unachoka ,anakuja kukukubalia teyari ushakata nae tamaa kabisa, alafu siku zinaenda anakujakuambia tafuta hela at the sametime anakuambia uchelewe kukojoa...
4 Reactions
7 Replies
428 Views
Watu wakiwa nje dah, makelele mengi; mara naweza kufanya hivi, mara naweza kucheza mdundiko, naweza kusimamia kucha, naweza kulicheza sebene, na hakuna atakayenishinda, mara itakuwa full...
2 Reactions
6 Replies
364 Views
Ni ni maana ya kula kimasihara? Ndo ipo vipi iyo.
3 Reactions
8 Replies
511 Views
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki...
14 Reactions
87 Replies
3K Views
Salamu nyoooote! Ni matumaini yangu kwamba nyote my wazima wa afya njema. Tuende moja kwa moja na mada husika. Kwanza kabisa naomba nikili wazinya kuwa Hawa Wadada wa kazi wanaotusaidia kazi...
17 Reactions
100 Replies
9K Views
Wakuu, hii mada imekuwa inspired na Ndo maana nikasema sio kila mwanaume wapo wanaoibiwa hawajui but wengine huwa wana kama sixth sense hivi au strong connection.....labda Pasco aje...
13 Reactions
64 Replies
16K Views
Habarini za wakati huu ndugu wana-MMU, Hongereni kwa Majukumu na kwa Changamoto mnazopitia kwani hizo ndio Maisha menyewe. Ni muda umepita toka niweke post yangu hapa MMU. Mimi ni kijana (31)...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua...
3 Reactions
15 Replies
706 Views
Back
Top Bottom