Ukikaa Na mwanamke kama mke kwa muda hata Wa mwaka tu mkitafuta mtoto ndo utagundua wahaya wanakuibia tu kwa sababu zipo siku utamchallange mkeo tena bure halafu usikojoe mapema uta Go sana mpaka...
Wagwan,
Chap kwenye point,
Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.
Though kwa sasa muda...
Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi.
Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana.
Unaweza fugwa usi...
Habari za muda Huu wakuu.
Mwanzoni mwa mwaka Huu nilikuwa natokea moshi kwenda arusha nakumbuka nilikuwa nimepanda basi la lim safaris, akaja mdada mmoja akakaa karibu na siti niliyokaa mimi...
Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu...
Greetings All
Et wasichana/kina mama ,wakati wa sex mnapenda ifanywe kama mnaadhibiwa na kugeuzwa geuzwa kwa kila namna au mnapenda tu soft ya kiutu uzima [emoji23]kifo cha mende basi ?
Make kuna...
Kaka na dada zangu, mama ba baba zangu, mliopo kwenye ndoa na msio kwenye ndoa. Nimekuwa ni ki post nyuzi nyingi sana apa JF.
Lakini Kuna kitu kina nisibu apo siku ya kesho nitashusha uzi...
Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje...
Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana...
Habari zenu wakuu, asanteni wote mliopitia uzi wangu uliopita na mkanishsuri vizuri na wengine mkaniponda, vyote vimenijenga asanteni sana wote.
Nimefikiria nahitaji niitafute damu yangu, je...
Not everyone deserves equal rights.
Not everyone should have kids.
Not everyone should get married.
Not everyone will end up with a life partner.
Not everyone will die young.
Not everyone will die...
Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake...
kwa mtazamo wangu, naona wanawake wengi wanaridhia kuolewa na mwanamme ambaye tayari ana watoto na mwanamke mwingine, na ni asilimia ndogo sana mwanaume kumuoa mwanamke ambaye ana watoto zaidi ya...
Ninaishi na mke ambae hatujafunga ndoa yapata mwaka sasa, tulikubaliana kuishi kwanza kutokana na yeye kunitilia shaka kuwa huenda nikamchezea na kumuacha, make nilipanga kufunga ndoa 2018, jambo...
Kuna wadada wanaojiuza wanatumia madawa ya kuwavutia wanaume, wengine kuwapenda, kutoa offers pasipo kutarajia, nk. Hapa ntazungumzia dawa moja ya hatari. Mwaka flani nikiwa Mbeya nilizidiwa na...
Kumlinganisha mtoto na mtoto mwenzake ukionesha kasoro aliyonayo au jinsi mtoto mwingine anavyofanya vizuri humuumiza kihisia na kumfanya akate tamaa ya kufanya vyema kwa kuwa ataanza kuona aibu...
Jana nimekutana na binti mmoja! Binti ambaye miaka takriban kumi na mmoja iliyopita alifunga ndoa ambayo nilishiriki kwa 100% lakini baada ya mwaka na nusu ndoa ile ilivunjika!!
Sikujua ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.