Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kutojali hiyo siyo kwamba ndio uwe mkatili kwa mwanamke. Kutojali hiyo siyo kwamba ndio usimtimizie mahitaji ya muhimu. Kutojali hiyo siyo kwamba ndio umfanye mwanamke hana thamani kwako. Hapana...
4 Reactions
5 Replies
671 Views
Habari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kikweli huwa nina enjoy sana hii style inaniruhusu kuuzingira mwili wa mwanamke kwa kiasi kikubwa mwanamke huunganisha mikono yake na yako kwa urahisi ili umchezee matiti, tumbo na kiuno. Ni...
24 Reactions
441 Replies
51K Views
Habarini wana MMU Karibuni leo tushare hili kwa pamoja,kuna usemi unasema kilajambo lina mwanzo,kuna mwanzo wa kila kitu na kila mwanzo wa jambo mtu huwa nahisia Fulani juu ya mwanzo wa jambo...
13 Reactions
549 Replies
45K Views
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Kitu kinachowaumiza wapenzi wengi katika maisha yao ni kutofautiana vipaumbele. Mivutano mingi ipo katika vipaumbele. Kutofautiana kwenye vipaumbele kwa wapenzi huwafanya kutoshirikiana na hii...
7 Reactions
15 Replies
768 Views
Wakuu bila kuwachosha naomba nitoe matokeo ya utafiti wangu. Kwa wiki 10 nilikusudia kufanya utafiti binafsi kutaka kujua hawa wadada tunowaona kwenye kumbi za starehe, Bar, night club...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Mliowahi kuoa wanawake halafu mkaja kugundua uko mbeleni kwamba ujanani mwake alishatoa mimba kadhaa, mna deal vipi ya hiyo depression? Mimi inanitesa sana, alishakiri na kuomba msamaha na mimi...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Bro, mke wangu tunapendana na pia anajua sijawahi kumsaliti, kwa kiasi fulani anatambua hilo kuwa sijawahi kumcheat, tuna miaka mitatu kwenye mahusiano yetu tangu nimuoe. Hivi karibuni tumekuwa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mtu unayempenda akikuacha inauma. Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna...
6 Reactions
34 Replies
15K Views
Habari MMU, Lately nmejikuta nmempenda sana dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, I made my few moves and seems like she is crushing back. The problem is...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age. Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Hapa uzi huu utasaidia wanaochumbia na wanaposa. Je, waliooa wanawake wenye watoto mnaweza kutupa mrejesho?
2 Reactions
184 Replies
32K Views
Asubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015. Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kuwasilisha. Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!?? Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako...
18 Reactions
197 Replies
6K Views
Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi? Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa...
2 Reactions
76 Replies
3K Views
Siku jamaa kajichanganya kaenda kwa jimama lake kamkuta mshikaji mwengine yupo sebuleni kakaa ila jamaa hakupanic. Jimama likamtengea chai sehemu yake na yule mchizi mwengine akatengewa chai...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani kama una hela za kutosha kuhudumia mkeo au wake zako bila shinda, wakiwa nyumbani nawapeni siri mke anae shinda nyumbani kuhudumia familia na mme wake( goal keeper) ana utofauti mkubwa kwa...
36 Reactions
295 Replies
11K Views
Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali...
8 Reactions
175 Replies
8K Views
Back
Top Bottom