Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Je unao uwezo wa kufanya maamuzi sahihi katika muda muafaka? Jamaa pichani ni baba wa familia hapo yuko kwenye harakati za kufanya uokoaji.. Anapaswa kuchagua mmoja wa kumuokoa kwa wakati huo...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
"No woman, no cry"alisema Lucky Dube. Ona sasa, kidogo anitoe uhai Baada ya kuchukua juisi ya matunda na kipande cha mkate kwa ajili ya kulipoza tumbo, nalimwona mwanamke wa ajabu akivuka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Porn exists to make men weak, powerless, and unable to lead. Feminism exists to demonize men, make women ugly, and destroy the nuclear family unit. Abortion exists because morality got taken out...
6 Reactions
24 Replies
756 Views
Nikipata hela, nitaenda Colombia kutalii. Wana vivutio vingi sana vya kuosha macho. Wakuu, bajeti inaweza kuwa kiasi gani kwa kukaa wiki mbili?
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna jambo nimeliona kwenye ndoa zetu hizi linachangia kiasi kikubwa tukose hata nguvu ya kumridhisha mwanamke Unaamka asubuhi unaambiwa sukari, sabuni, mafuta mchele takataka zote hamna unaacha...
3 Reactions
98 Replies
3K Views
Habari wakuu, leo acha nimtolee uvivu huyu Jirani yangu (housemate). Kwanza hongereni sana wakuu mliobahatika kujenga na kuishi makwenu, hakika hizi nyumba za kupanga zinakera sana na zina...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA. Anaandika, Robert Heriel. Niweke wapi USO wangu! Mambo yote hadharani! Tupu zangu zipo ukweni, Wanazitazama...
8 Reactions
57 Replies
7K Views
Kama kijana kuwa makini na wanawake WASHAMBA ndio wanaongoza kwa usumbufu na hata cheating kwenye mahusiano na ndoa. Utaajuaje 1. Anathamini sana vitu na hafikirii mbele - Anamiliki iphone 13...
21 Reactions
96 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu Juzi kuna jamaa yangu alikuja kuniuliza swali nikashindwa kumjibu. Anasema ameoa hivi karibuni ndoa yake ina miezi miwili sasa hivi. Lakini anachosema mke wake hataki siku ipite...
7 Reactions
89 Replies
14K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali za wanajamvi zinazohusu maswala ya mapenzi na stori mbali mbali za watu kuchakatana shuhuda nyingi za wadau wa umu ni wachakataji wazuri yani...
18 Reactions
50 Replies
9K Views
Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
1. Wanawake wengi wanafikiri wanaweza kumshawishi mwanaume yeyote kupitia ngono. Bila shaka, wanaume wa kawaida wanapenda ngono. Lakini kupenda ngono na kumpenda mtu wa kufanya naye ngono ni...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani! Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako. Nikiangalia mfukoni, zimebaki...
5 Reactions
158 Replies
4K Views
Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje...
10 Reactions
423 Replies
42K Views
Jana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni...
34 Reactions
142 Replies
8K Views
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za sasa hugubikwa na usaliti kwa pande zote mbili, na hii ni kutokana na maisha tunayoishi kwa sasa ya utandawazi. Lakini likija suala la usaliti kwa mwanaume...
3 Reactions
8 Replies
871 Views
Kuna pisi niliielewa kitambo nikawa nimepromise kumtafuta. Akacheka tu. Sasa Leo nimetinga kazini kwake. Kuniona tu akawa haeleweki. Kiufupi kama akawa unstable kind of. Sasa nikamuita anagoma...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Habari? Hili jambo napenda kulisikia kutoka kwenu kabla sijafanya maamuzi ambayo sijui matokeo yake yatakuwa mazuri au mabaya. Kuna mwanaume ninampenda sana ila nimeshamkamata katika usaliti wa...
7 Reactions
183 Replies
6K Views
Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika...
6 Reactions
97 Replies
4K Views
Back
Top Bottom