Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za jukwaani wana MMU, Leo napenda ku declare interest kwamba kiukweli huwa napenda sana wanawake weusi iwe ni maji ya kunde au weusi kabisa real black beauty A.K.A mama Afrika. Wanawake...
16 Reactions
329 Replies
20K Views
STORY NYINGINE HII HAPA. Wakuu haya mambo ya wanawake kunyanyasa wanaume yameshika kasi sana. Sasa hivi ukikaa na wanaume watatu waliooa au wanao ishi na wanawake mmoja ana shida ya kufa. Jamaa...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Sifa kuu ya mwanamme ni kutokuwa mbinafsi. Ndo maana mwanamme ana kiatu pair moja ila mke na watoto wake wana vaa nguo nzuri na viatu vya kutosha. Zamani wazee wetu kabla ya kuoa lazima...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano. Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam. Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea...
12 Reactions
56 Replies
9K Views
Ijumaa Kareem! Nimetafakari sana hili. Usiku wa leo nimelala nikiwaza sana. Nimeunganisha dots na kukusanya picha mbali mbali, kuunganisha matukio mbali mbali n.k, na kugundua Ulaji wa ugali ni...
1 Reactions
4 Replies
693 Views
Wadau na mahusiano na mwanmke, ambaya awali alikuwa na mahusiano na mtu flan wakabahtika kupata mtoto, lakin mtoto alifarki baada ya muda. Wakaachana kwa sababu za hapaa na palee, sasa mimi...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari za wakati huu.. Siku kadhaa zilizo pita nilileta bandiko la kutafuta mke mwema,, na baada ya siku kadhaa mdogo wangu nae alikua na mchumba binti wa kimbulu na aliniomba ushauri alipofikia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana JF Leo naomba kuongelea au kuliwekea ufafanuzi jambo moja ambalo limekuwa likielezwa vibaya au kimakosa na watu wengi wengine wakiwa ni viongozi hadi wa kiserikali. Suala hilo ni...
1 Reactions
12 Replies
576 Views
Siku moja nimejichokea na majukumu yangu, ikanibidi saa mbili usiku nizame kwenye 'pub' moja iko karibu na mtaani kwetu. Nikawa napata bia mbili tatu, huku nikimsikiliza DJ anavyobadilisha...
16 Reactions
202 Replies
11K Views
Egg plant. Image Via Pixabay ‘Most gifted man’: Top 10 countries with biggest manhood sizes The top 10 countries with the biggest manhood sizes revealed, Africa dominates the list with five...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Wanaume wengi huwa hawajifunzi kujidhibiti. Wanaweza kunaswa na mwanamke yeyote mjanja kupitia ngono kisha wakaporwa hela kijinga kabisa . 2. Wanaume wengi huwa hawawezi kujifunza jinsi...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
As my tittle, niki sema perfect I mean perfect. Yani we have the chemistry ambayo tunaelewana. We broke up kisa nilikuwa busy na kazi za watu alafu mkoa mwingine. Ni kasema fresh. 1 year in. I...
10 Reactions
91 Replies
4K Views
Nimejaribu kufanya hili jambo Kwa marafiki wa kike just for fun nimeambulia kuoga matusi. Kila moja kumuomba show direct kama kuomba chumvi Kwa jirani. PLEASE DONT TRY THIS AT HOME IT IS ONLY...
8 Reactions
81 Replies
4K Views
UNATAKIWA KUMZIDI MKEO MAMBO (3). 1.Umri 2.Akili 3.Pesa MKEO ANATAKIWA KUKUZIDI MAMBO MATANO 1.Subira 2.Upendo 3.Usafi 4.Maombi 5.Mipango MNATAKIWA MUWE SAWA KWENYE MAMBO MATATU(3)...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi. Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hope Wana Jf wote ni wazima, Niende kwenye mada moja kwa moja Hii ni siku ya Kumi na mbili tangu niache punyeto ila nipo kwenye mateso makuu mno naombeni ushauri; 01. Kwanza nahis kuumwa sana...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Nlishawahi kuwa na demu mmoja kilaza sana. Unajua sometimes sisi wanaume kabla ya kuoa unakuwa na mchakato wa muda mrefu wa kutafuta mke. Yule demu nlikutana naye mazingira flani nami akili yangu...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Eti mwanamke anakunyima unyumba anakutukuna imefika wakati wa kulipa kodi bado ananiletea mdomo ninachokitaka hii kodi bora nikalipie sehemu nyingine nipukapumnzishe ubongo.Naomba mnishauri...
3 Reactions
23 Replies
938 Views
Maisha haya bhana kuna kipindi maisha yalinipiga mjini nikapoteza direction ikabidi nijichanganye kitaani nikutana na vijana flani ivi nikawaomba mishe wakaniunganisha na jamaa wengine kazi ya...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom