"UMRI SIO RAFIKI NITAMLIPA
MSHAHARA ATAKAYE NIOA"
Haya sasa unaambiwa mwanamke mmoja wa Nigeria mwenye makazi yake nchini Ufaransa ameingia kwenye mtandao ya kijamii kutoa tangazo anahitaji...
Habari za usiku Wana Jf hope wote ni wazima poleni na majukumu ya kujitafutia riziki,
Niende kwenye lengo la Uzi,
Napenda kushauri serikali yangu na wadau mbalimbali kuwa ni Wakati sasa sahihi...
Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na...
Jana nimekaa nimewaza sana tu .
WANAUME
humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili...
Niliwahi kusikia ukimsaidia mwanaume ambaye yupo kwenye mkwamo wa kiuchumi, au anapitia changamoto fulani ukatatua changamoto yake baada ya hapo anakuacha akimaliza changamoto anayopitia.
Kwamba...
Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia...
Wengiwenu mmekua mkijisifia kuwa mnakula na kuwatumia wanaume. Yaani mnakula na kutumbua pesa za wanaume. Ili kumkomoa mwanaume .
Nawafichulia tu siri mwanaume utakae mfuja hivyo ni yule ambaye...
Habari zenu wakuu...!! Poleni na Swaum (Mlioko kwenye mfungo)
Kwanza kabisa mie humu sio muanzisha Uzi mara nyingi huwa ni mchangiaji tu japokuwa kuna mambo mengine huwa nayamaliza mwenyewe ila...
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu...
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile...
Yaani unakuta demu akija geto gas yote inaisha utadhani alikuwa anapika Makukuru[emoji41]
Bajeti ya wiki mbili unatumia siku moja dah
Nina hasira ntamalizia kuandika
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi...
Habarini Wana janamvi ,
Nimeona nianze na heading ili mjue sio kwamba nataka kulelewa Ila najiuliza Kuna upendo kweli apa, ?
Mim nilikua nafanya kazi kwa miaka minne nikaacha nikaja chuo kusoma...
Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke...
Jamani najiuliza sijui nimeoa jini sielewi!
Huu ni mwezi wa tano kila nikikaribia kuanza minyanduano anaanza kuniambia leo jitahidi bwana! jitahidi angalau utumie saa moja na nusu, anaseti saa...
Salaam,
Mwanzo upendo ktk mahusiano/ndoa hua na nguvu sana coz wahusika huziweka wazi hisia zao vile wanavofeel juu ya wenza wao.
Jambo hili hujenga bond strong baina yao na kuwafanya...
...Habari! Dada zangu mwanaume kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana ktk dunia hii. Hii ipo tangu zama za mawe za kale. Sasa kuna wamama wanafura mpk eti wanasusa ndoa! Khaa, ukiondoka dume...
Matukio ya watu kulea watoto ambao sio wao yamekuwa yakileta mifarakano katika jamii kwa miaka mingi.
Utakuta mtoto analelewa kwenye nyumba ya baba mnyamwezi lakini ukimwangalia pua na masikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.