Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kuna watu wanajua kufanya mamboz aisee. Mtoto ni miss fulani hivi mwembamba yaani, mweupeee ila anabalaa. Mtoto anajua hadi nasema huyu hana tofauti na Messi kwenye football. Nilipelekwa...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k. Nisaidieni chanzo cha haya masuala na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Usitupe mtoto chooni, usikinyonge kichanga chako, usitoe mimba, na siku zote mlee mwanao vizuri kwa uangalizi na umakini wa hali ya juu. Huwezi kujua huyo ni nani. Muda ni shujaa wa kweli pale...
9 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Ngoja niende moja kwa Moja kwenye maada yangu. Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 32. Nilimaliza chuo miaka kadhaa huko Nyuma. Miaka imekwenda miaka inakimbia...
12 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari ganj wanafamilia wa MMU, Ni muda sana umepita tangu nilete maada yangu kuomba ushauri. Poleni kwa changmoto za maisha NA misiba iliyoikumba nchi yetu pendwa. Niende kwenye maada, mie na...
5 Reactions
136 Replies
7K Views
Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa. Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni...
21 Reactions
103 Replies
6K Views
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Nawasalimu wana MMU wote kwa jina la JF, Alasiri hii nimejisikia tu kwa utashi wangu kumuelezea jinsi ninavyomjua Miss Nakadori humu MMU, kwa upande wangu kutokana na thread zake ambazo huwa...
18 Reactions
509 Replies
11K Views
Wakuu hamjambo Marahabaaa..... Nimekuja kuwauliza hivi mbona Hamnaga singo faza mtaani. Yaani huwezi kuta mwanaume mwenye mtoto bila ndoa aitwe singo faza. Hata kama wapo mbona wana CV nzuri...
1 Reactions
22 Replies
760 Views
Habarini waungwana.! Niende kwenye dhima ya uzi wangu. Mke wangu mdogo ana week ya pili mguu unamuwasha mno. Naomba kueleweshwa tiba. Anasema akifanya mapenzi asubuhi hali hii humkuta. Pia ana...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa? Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari Wadau, niende kwenye mada. Hii imemtokea rafiki yangu amabae ana girlfriend wake wamekaa muda mrefu mdogo. Katika harakati za kutafuta maisha rafik yangu alipata kazi akapangiwa mkoani...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Aisee, Mnaoenda mikoani kwa shughuli mbalimbali (hasa msimu huu wa kilimo) kuweni makini Sana na mabinti/wanawake wazur mnaowatamani uko mitaani. Wee Ni mgeni Umeenda mkoani. Unamuona binti...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
TIP YA MIZAGAMUO PART II RECAP ........ kwenye swala la HISIA ni vizuri kumuonyesha MWANAMKE kuwa unamthamini sio KWASABABU tu pia na sababu zingine kama akili, mavazi, nywele,upole, mshauri...
0 Reactions
6 Replies
606 Views
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu...
8 Reactions
94 Replies
6K Views
Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye! Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya, sababu ya kulala hapo ni ubora...
8 Reactions
103 Replies
7K Views
NILISOMESHA MCHUMBA Mezaliwa kijijini, kukulia huko pia, Mazao yetu shambani, mengi tulijivunia, Tukayajaza ghalani, akiba kijiwekea, Tukawa wenye furaha, usiku tumevimbiwa. Nilimaliza la...
2 Reactions
2 Replies
277 Views
Habari JF Nina mahusiano Mazuri na ninayetaka kumuoa ila tatizo ni kwamba yeye anataka Nimuoe mwezi wa kumi na sio huu wa Ramadhani. Nina muhudumia kila kitu, naogopa kupoteza pesa mana mwanamke...
0 Reactions
21 Replies
849 Views
Back
Top Bottom