Habari za muda huu.
Hizi ndio sheria 9 ambazo kila mwanaume inabidi asijue!
1. Mwanaume inabidi uweze ku control hisia zako.
2. Mwanaume inabidi uwe na uwezo kwa kuchanganua mambo kwa kutumia...
Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.
Kwanza hamna hata huruma?
Sometime wanaume tunaangushana
Mwanamke ni mwenye ndoto, mwanamke ni mlezi na mwenye moyo wa kusaidia, mwanaume kuzibeba ndoto za mwanamke wako ni heshima.
Mahusiano na ndoa havipaswi kuwa ni kaburi la ndoto za mwanamke...
The natural law is clear. Man was created and given obligation to procreate. Marriage is cornerstone and pillar to that noble duty. Our Africa values protect this natural law, and if we are to...
Wasalaam,
Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake.
Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi...
Kama huna nyota na wanawake na huna hela mapenzi yatakutesa sana, sababu kuna watu wana nyota na wanawake mara nyingi hawatumii nguvu kubwa sana kuwapata wanawake, nielewekwe wanakataliwa ila sio...
Kuna Mwanamke mmoja nimepata bahati ya Kushirikia nae ' Tendo la Uzinifu ' hivi karibuni na ni Mke wa Mtu ila kwa alichokuwa akiniambia wakati Rais wa Kusimamia Ukucha niliyetukuka nachanja mbuga...
Nataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious.
Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
hii ofisi niliyopo sasa ni ya umma,ina vibinti mashallah na hususan wakiona kijsna bachelor basi mitego inazidi,nimefanikiwa kunasa kwa binti mmoja wa kirangi baada ya mechi mbili tatu ananiambia...
Mimi ni kati ya wadau niliyeoa ndipo nikashirikiana na mke wangu. Na hii yote iliwezekana na kuwa na mahusiano na Mungu aliyenipa ujasiri wakujitunza na kuoa then kushiriki tendo la ndoa.
Swali...
Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter.
Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano).
Tukae mbali na mafeminist wakuu.
Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.
Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.
Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
Nilisoma kisa cha dada mmoja anaitwa Jane, kilichapishwa gazetini wiki mbili zilizopita. Jane ni mchanganyiko wa damu nyeupe na nyeusi. Baba yake ni Mzulu na mama ni mzaliwa wa Uingereza.
Mama...
Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu...
Nipo chaka moja matata sana njaa ni kali na foleni haitembei, nawaza na kuwazua huku nikitembea taratibu nikitafakari kauli ya Mama, kwamba yeye ni JamiiForums USER, najiuliza yeye ni To yeye au...
Jamani wanawake wa humu heri ya siku kwenu wengi mpo vibaruani mkitafuta riziki ya watoto wenu .
Good day Kwa wote wanajamiiforums To yeye Lovelovie Kalpana Antonnia Lenie Depal na Nakadori...
Asilimia kubwa ya wanaume hufikiri hivyo, hata mimi kuna kipindi nilikua naamini hivyo lakini sikupata matokeo ninayotaka. Japo vingine ni muhimu lakini ili kudumisha mahusiano, usivitegemee hivyo...
Napendekeza na sisi wanawake wa jukwaa hili tusherekee humu.
Naomba tupendekeze muda na siku na mgeni rasmi. Pia ifanyikie jukwaa gani. Na nani apewe tuzo gani etc.
Maoni tafadhali
Siku moja, nimejichokea zangu mida ya saa nne usiku, nikaamua niende 'club' nikapate 'vibe' la kule ili niweze kuondoa 'stress' za maisha.
Muhudumu akaniletea bia zangu tano za kuanzia...
Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi
Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza
1. Je, Wamejaribu kila biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.