Amani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana...
Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini.
Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau...
Wanaume mnajiona kuhangaika kupata pisi Kali Kwa gharama yeyote ila kumbe mganga yeye hupewa mzigo kiulaini na pesa uliohonga wewe kirahisi so ndio maisha. Inabidi uzoeee
Kaa Kwa kutulia.
Unakuta...
Sikieni watu usitafute mtu ambaye Hana swagga zako
Kama wewe ni Malaya hutulii oa kahaba ndio mtaelewana.
Ukiwa handsome qute na unamadharau oa hivyo hivyoo mke mqute na mwenye madharau , .
Oa...
Katika hekaheka za mapenzi kuna utamu na uchungu wake. Wanaoteseka sio wanaume tu bali wanawake nao sio mchezo.
Licha ya nyuzi kama zile za kula tunda kimasihara. Kuna wakati unaweza kumwinda mtu...
𝗨𝗝𝗨𝗠𝗕𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗜𝗡𝗧𝗜 𝗪𝗢𝗧𝗘[emoji2960]
Ukijaliwa kuwa 𝗠𝗦𝗜𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘. Kuna wanaume hawasumbuliwi na 𝗨𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 wako kama unavyodhani, uzuri wako hausaidii...
Wewe uko namba ngapi na tupe uzoefu wako
1: Mahusiano ya ndoa: haya yanakubalika na jamii na kutambuliwa na serikali. Ndo mahusiano ambayo wapenzi wana uhuru wa kujitambulisha popote na...
KWA MWANAUME AMBAYE HAJAOA :
Ikiwa huna mpango wa kumuoa huyo mwanamke wako, kamwe usimuulize umri wake.
Usimuulize kwanini bado yuko single.
Usimuulize ana uzito wa kilo ngapi.
Na ikiwa...
Leo nimeletewa notification na google photos na ika niamshia memories ambazo nisinge penda kuzi re-live.
Growing up as a lastborn, kwa familia nyingi uta expect kuwa the most favorite lakini...
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango...
Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam.
Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka.
Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako...
Hallo ndugu zangu
Nina mchumba wangu ambaye tumepanga kuoana mimi na yeye mwaka kesho. Ila hali za huyo mchumba wangu mpaka sasa hivi na shindwa kuzielewa kabisa.
Mimi huyo mchumba wangu ni mtu...
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa...
Umuofia Kwenu?
Katika kuishi kwangu Visiwani Comoros, nilipata kuona tamaduni moja ya maisha ya ndoa. Mwanaume unaenda kuishi kwa mwanamke yaani nyumbani kwenye familia ya mke.
Yaani ipo hivi...
TEAM NDOA VS TEAM USIOE
Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una...
Sijui nipoje (in Whozu voice),ila ndivyo nilivyo, huyu mpenzi wangu ninaishi naye vizuri na kwa upendo kwa muda mrefu. Sasa week jana alipata homa ya kuhara, siyo mbaya kila mtu anaumwa, ila ile...
Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana.
Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point.
Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu...
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala...
Wakubwa shikamoni na wengine habari zanyu, wadogo marahaba. Kwenye mambo ya ndoa nipo mwaka wa 13 sasa nafikiri nina uzoefu wa kutosha.
Katika kujifunza kwa waliotangulia, nimegundua wanaume...
Habari,
Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.
Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.