Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari Kama mwanaume umeumbwa na wivu nakuhurumia sana ndugu yangu, maana hata ukiwa na mwanamke innocent bado wauni watamsumbua, sasa imagine una mwanamke kicheche Nta-share visa kazaa KISA...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu. Mwaka jana...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari". Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi; Bidhaa Mwanamke [ Nyanya ] Wauzaji Wazazi upande wa mwanamke...
4 Reactions
5 Replies
791 Views
Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Kama Mnakumbuka jana ule uzi wa https://www.jamiiforums.com/threads/yule-kibonge-simtaki-tena.2071846/ Sasa Muda ule naandika ule uzi nilikuwa njee Napunga upep0 huku nakunywa wine Yangu pendwa...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Unakuta mwanamke wa nguvu kimuonekano, lakini ukienda naye kitandani hajui a wala b. Anachojua ni kuvua nguo na kufungua miguu au mapaja na kujilaza tu hapo. Mengine we mwenyewe endelea! Kesho na...
0 Reactions
8 Replies
892 Views
Nisiwe mnafki hata kidogo, mimi ni mkristo lakini linapokuja suala la ndoa za kikristo huwa sina imani nazo, ninapoona ndoa zinafungishwa na padri au mchungaji wakati hili jambo halipo katika...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa. Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui; Kupeleka barua ya posa Sijui...
1 Reactions
6 Replies
725 Views
Natumai mu wazima wa afya na weekend inasonga vema... Wakuu, baada ya kusoma ile thread ya mwekundu anayohoji kwa nini wanawake wengi wanapenda waume za watu au waliooa nigundua yafuatayo...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Hebu sema ukweli wa moyoni mwako. Hayo mahusiano ulionayo ndiyo ulikuwa ukitamani kuwa nayo ama unasogeza siku? Juzi kati tulikuwa watu watatu. Wanaume wawili na mwanamke mmoja. Baada ya kuongea...
4 Reactions
99 Replies
9K Views
Je tatizo huwa ni nini Kwanini wanaume wengi hufa mapema katika ndoa na mahusiano Shida inakuwa ni nini?
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Msururu wa Wanaume wenzetu waliokwisha gongewa si haba. Kibaya zaidi kugongewa ilikuwa Siri ya ndani ila siku hizi hii mitandao inatuexpose saana. Nini tufanye? Hakuna Mwanaume atakeyesimama hapa...
35 Reactions
263 Replies
15K Views
Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote. Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada...
10 Reactions
94 Replies
9K Views
Unakuta vipo kinondoni na sinza, havinaga kazi ila vina iPhone macho matatu mda wote vipo kwenye outfits, maduka ya simu makumbusho kule au vimekaa nje ya Saloon za sinza. Kucha kutwa vinalamba...
18 Reactions
115 Replies
7K Views
In fact, every woman needs a little curve at the back. Many women say that when their asses look right, they feel attractive and very good about themselves. This is exactly why more and more...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwema wakulungwa. Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Sababu kuu ni kwamba amegoma kuacha utoto.
21 Reactions
287 Replies
8K Views
Kwanza kabisa Naomba tuwasifu wale wadada wana0fanya kazi NYUMBA ZA KULALA WAGENI wengi wawateja wa0 huwa tunafanya mamb0 ya kijinga sana mule vyumbani tukishamaliza Umalaya wetu...Wengine...
7 Reactions
98 Replies
6K Views
Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa...
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Back
Top Bottom