Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye.
Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe...
Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa...
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE.
Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya...
Salam Wakuu,
Ndani ya mada kabisa, Nataka kujua ni hali gani anakuwa na mtu kama huyu. Mapema January mwaka huu nilipata kadi ya kuchangia send-off kutoka kwa rafiki yangu, ambapo aliainisha...
Habari Wana Jf
Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume...
Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama.
Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska...
Wakuu Naombeni Msaada.
Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka...
Legends mnasemaje, au mimi nnaangukiwa sana na wanaotumia Airtel vp?
Sababu asilimia 90 ya barmaid au pisi nlonao kwenye simu yangu namba zao ni za Airtel, leo nmekutana na kisu mmoja tena hapa...
Hellow
Kuna haya mahusihano unakuta mwanaume ameshona shati la kitenge sawa na mchumba wake hapa ndoa lazima ukiona mwanamke umeweza mshawishi mwanaume mpaka akashona sare na wewe kama hajakuoa...
Ndio, leo nimeona bora nikutafute kwa sababu wewe hata siku moja hujanitafuta...!
Hunipigii simu, hunitumii hata message, basi japo ungenipigia hata kuniomba japo pesa nikutumie ila wapi...
Sijui nianzie wapi ila kiufupi simu yangu ilikuwa diverted na mtu nisiemjua. Baada ya watu kunijulisha hilo kuwa wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima simu yangu kubwa nikatumia...
Wabari wakuu na wanaJF, natumaini ni wazima wacha niende kwenye mkasa.
Mke wangu ni mjamzito, sasa mwezi huu wa 11 nilipata safari ya kikazi Dodoma sasa inaenda wiki ya 3, lakini baada ya...
Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli!
Namimi nikaamua kuchange...
Jamii nyingi duniani zimeishi na zinaishi katika utamaduni wa kuoa au kuolewa [ ndoa ] kwa wake na waume.
Leo nita wajulisha kuhusu watu maarufu duniani ambao hawa kutimiza huu utamaduni ulio...
Wakuu, husika na kichwa cha uzi.
Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na...
Habari wana MMU,
Kuna jambo limekuwa likinisumbua sana nafsi yangu hivyo nimeamua kuja kushare nanyi ili muweze kunishauri.
Ni hivi, nina mchumba wangu ambae ninampenda sana na tunatarajia...
Wakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi...
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.