Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwa mwanamke Unamsaliti mumeo unaenda kwa mchepuko, hapo kichwani unawaza kwamba leo naenda kupewa show ya kukata na shoka. Kufika kwenye mechi jamaa mchepuko anapiga tako tatu, halafu anamwaga...
1 Reactions
4 Replies
562 Views
Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Ule msemo wa mke mwema anatoka kwa bwana naona kama ni stagnant perception! Uwezo wa kupata mke mwema unatokana na akili yako na sio kusubiri ety bwana. Just imagine. Katika akili yako unawaza...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale waliovuka hii stage, naomba uzoefu wenu wa namna ambavyo natakiwa kufanya ili nikajitambulishe Kwa mke wangu tarajiwa Moshi, kufupisha story ni kwamba huyu binti ni mjamzito sasa, wazazi...
5 Reactions
119 Replies
13K Views
Habarini Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo Wote sisi ni waislam Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Pengine hizi opportunity ningezitumia basi na mimi BabaMorgan ningekuwa na visa kadhaa kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara. 1. Huyu alikuwa mtoto wa mwenye nyumba wetu kule mabibo...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana Jf nawasalim, Nina mpenzi wangu mpya ambae amehamia kwangu katika mazingira ambayo yanatatanisha hadi sasa na hatimae kubeba mimba bila ridhaa yangu.Huyu binti tumefahamiana miezi si mingi...
5 Reactions
95 Replies
11K Views
Natumaini ni wazima Sio muandishi mzuri mnivumlie Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri Baada ya muda...
14 Reactions
156 Replies
5K Views
Baada ya binti kubeba ujauzito wangu kwa takribani siku kadhaa sasa nataka niende kwao nikajitokeze kama mhusika. Kwa wale wazoefu wa haya mambo naombeni mwongozo naanzaje kujipanga Kama mhusika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama tunavyoelewa kuwa kahaba ni mwanamke anaetoa huduma ya ngono kwa pesa ili kujiweka sawa kiuchumi au kimatumizi.Nafahamu zipo tafsiri nyingi na pana zaid juu ya neno kahaba. Niende kwenye...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Iko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini...
9 Reactions
131 Replies
7K Views
Amani iwe nanyi nyote wana JF, Ama kweli katika maisha ni kufa kufaana, nikiwa nimetulia sehemu mitaa ya Dodoma Jiji, nakula kuku na kutuliza Koo kwa flying fish za moto, nikiwa na mtoto wa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo. But mume never usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka. Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke Mwanaume...
33 Reactions
81 Replies
4K Views
Habari wakuu kama mnakumbuka kisa changu cha shemeji yangu wabkike Dada wa mke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wa kwenda kazini kwake kutafuta riziki... Sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Ukoo upo kwenye vikao na maandalizi ya mwisho kabisa ya kumsafirisha baba yangu mkubwa kuja Dar kwa matibabu zaidi baada ya ugonjwa wake kushindikana katika hospital ya mkoa. Ukoo...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Nipende kuwakaribisha wadau wote kwa maswali yangu haya mafupi yenye kuhitaji majawabu, maelezo na mifano halisia toka kwenu. MASWALI: 1. Rafiki ni mtu gani au nini maana ya rafiki? 2. Kivipi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa siwezi kutembea akaniladhimisha kukimbia, nilivuja damu nikapoteza mishipa yangu ya fahamu, alinionjesha radha ya mapenzi lakini akanilisha uongo, nilimwambia kama hatutaenda peponi basi...
1 Reactions
16 Replies
902 Views
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati, Ewe mwanaume mwenzangu nakwambia ukiamka asubuhi baada tu ya kupiga mswaki hakikisha kabla ya kutia kitu chochote mdomoni unapata hii menyu...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la. Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
For the next 6 months, become addicted to these habits, and you'll be unrecognisable by Summer 2023... 1. Work out 3x a week. 2. Meditate for 5-mins daily. 3. Eat 2 healthy meals per day. 4...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Back
Top Bottom