Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Updates
Wakati napost huu ujinga wangu wala...
Umemshawishi ukachukua namba ya mwanamke mzuri umtakaye.
Akilini mwako ushapanga kumtoa out. Jinsi utakavyomfikisha kileleni na ufundi wako wa kitandani. Kadri siku zinavyozidi kwenda ndo unazidi...
Mara nyingi mke wangu ananinyima mapenzi yaweza hata kufika mwezi sijafanya ananinyima kwakuwa nimezidiwa huwa simfosi naamka napiga punyeto mbele yake kisha na nalala je sahihi au nifanyeje...
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo
Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo...
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani...
Natamani saana kuishi maisha kama ya Diamond kwenye mausiano. Katika dunia hii kama kuna watu ambao wanaogopa ndoa nafikiri mimi number one!
Naogopa kuoa saana, sio kwamba sijawahi kuoa hapana...
Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu...
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.
Leo nimemualika dogo...
Habari wa jukwaa,
Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje?
Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa...
Ni miaka 13 namba yangu simu natumia sijawai kubadilisha. Nipo kazini inaingia namba ambayo ngeni kwangu, kupokea ni ex wangu yapata miaka 8 iliyopita. Kumuuliza umepataje namba yangu?. Alikuwa...
Nisiwe mchoyo wa takwimu na data mzee wenu niliyejizika kwenye takwimu. Ndugu zangu 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu. Hizi ni takwimu za NBS ndugu zangu 'The 2021 Social Institutions and...
Wanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,
Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka...
Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
Huu mjadala ambao nimeusikia redioni Nikiwa ndani ya daladala ambapo Kuna utafiti ulikuwa unajadiliwa ambapo unanyeesha wanaume wengi waliooa kuanzia miaka ya 2014 hadi 2022
Asilimia 80...
Hivi huwa ni hulka au mbwembwe tu, kwamba mpenzi au mwenza wako anakutumia ujumbe alafu unamjibu kwa mkato kama vile humjui au utaki akutafute.
Hata kama ni salamu, taarifa ama chochote wewe...
Maisha ya wanawake wa kiislamu wa kitanzania yana mateso sana (hivi unajua sio kila nchi za kiislamu huruhusu hili).
Sasa wameuana wakigombea kulala kwa mume, mke mkubwa akiwapiga stop wenzake...
Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu...
Habarini wakuu,
Maendeleo ya sayansi na technology yamechangia sana swala la mahusiano kuzidi kuwa complicated,Unaweza ukawalaumu sana hawa viumbe ( Wanawake) kwamba labda wana tamaa sana...
Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.