Habari JF member,
Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo.
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana...
Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.
Haikuwa mara yake ya...
Kuridhishwa kwenye tendo la ndoa sio kufikia mshindo (kileleni) tu, bali inahusisha mchakato mzima wa kufika kileleni.
Ni sawa na mtu aanze safari ya kutoka mwanza kwenda Dar, huku njiani akiwa...
Kitu nilichojifunza japo sipo huko ni kwa waliokuwa na mahusiano au wapenzi wakiwa kwenye uchumba au sio uchumba.
Wengi wao wameweka Bima ,nipige tafu na hisa.unajua kwa nini nimetaja hayo maneno...
Ni ukweli unaosikitisha kuwa wanawake mnawaona wazuri wanapenda kutreatiwa kama takataka. Chukua fursa hiyo ukishamshapata mfanye kama takataka. Akiwa mzuri zaidi mtreat kama takataka zaidi na...
Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata...
Hii mada ya kataa ndoa inabidi ijibiwe kwa hoja na sio mihemko, vijana wetu wanaikataa ndoa wakiwa na mantiki kubwa sana, inaitaji umakini mkubwa sana kuwaelewa na kuweza kujibu hoja zao za...
Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya...
Usimruhusu au kuendekeza mwanamke akutendee mambo haya
1 Kukujibu atakavyotaka au atakavyojiskia.Pindi utakavyokaa kimya au kumpotezea atafanya iwe tabia yake na atakudharau. Zaba Makofi kama...
Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu
Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye...
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia...
Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam.
Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue...
Kama mwezi umepita hivi, nilikuwa hapa mjini kwa majukumu ya kikazi. Ili kazi iende vizuri, ilinilazimu kukaa hotelini kwa muda wa siku nne hivi.
Baada ya kutoka kwenye majukumu, mida ya saa...
Habarini,
Mwezi huu mwanzoni nilienda msibani Singida nikiwa uko nikamaliza kuzika kuna mdada nilikuwa naishi nae Dar akaenda Morogoro kwake kuishi na kutafuta maisha basi ikapita muda mpaka...
Mahusiano nayo yana hesabu zake, Jifunze kutambua nafasi yako kwenye maisha ya watu wengine.
Ukilitambua hili utakuwa umejiwekea ngome imara itayokulinda usiwe unatumia nguvu kubwa kwenye...
Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli hazihitajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
Hellow
Jana wakati natoka ibadani nilikutana na huyu mtu pale victoria tukachange number sasa nilimpoteze chaa ajabu kanitafuta telegram alitaka niende jana nikagoma ila anafosi niende leo ila...
Kwema wakuu!
Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba hizi ni Mvua tuu za rasharasha. Tunasema haya ni mavuno ya awali, bado mambo hayajachanganya. Mambo yakichanganya hapa Dunia...
1. Kuwa na vitu vyenye kuwapa muda wa kuweka sawa fikra zenu ziiungane. Epuka kuwa faragha na mwanamke au mwanaume wako lakini hisia zenu hazikutani. Kama pipi, vinywaji, maneno matamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.