Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga.
Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza.
Nimejikuta nampenda kias kwamba na...
NI DHANA POTOFU KUSEMA MWANAUME HASIFIWI UZURI. NI AKILI NA KAMPENI ZA KISHETANI.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Soma Kwa Utulivu. Hizi ni falsafa za Watibeli, Kutoka Nyota yenye mbawa Mbili...
Huyu Dada ni mzuri Sana Kila nikimuona Moyo mapigo yanaenda Kasi. Najihisi ni kama sijui Niko wapi.Nashindwa kuacha kumwangalia.
Namwangalia mpaka anajishtukia. Nashindwa nianze gia ipi kuingia...
Wakuu.
Naomba niseme nitakuwa wa kwanza kupitisha Sex (kujamiana) iwe miongoni mwa mahitaji ya msingi na muhimu kwa binadamu.
Drive force kubwa ya mwanadamu Kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu huu...
Mshikaji ananisimulia tukiwa kwenye daladala, dahh bro mambo yamenifika hapa..... Nimevumilia lakini nimeshindwa.
Mke wangu ambae ninae unajuwa hatujawahi funga ndoa ila tuna mtoto mmoja na tuna...
Hello 👋
Ni upendo tu🥰
Muwakumbuke bodaboda wenu mnaowatumaga vitu vya nyumbani na safari za hapa na pale.
Mwaka wa bodaboda huu wadada wameamua kuwabariki😎
Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo...
Hbr za w,keend wakuu
Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman
Nina...
Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha.
Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana...
Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game.
Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au...
Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta...
Mwana JF hope mko fine
Katika kusoma thread nyingi za MMU hasa zenye contents za minyanduanao hutaacha kusikia neno hili 'Kuifinyia Kwa ndani'
Wanaolitumia neno hili uonyesha kufurahia kana...
Habari zenu,
Nakumbuka niliwahi ona thread ikizungumzia kuwa mabinti wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ndo maana wanaosuka mipango ya harusi asilimia kubwa ni wanawake.
Ninavofikiri mimi ni...
Hello mambo JF!
Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku.
Hata angeona hatari...
Wakuu,
MUDA mfupi uliopita nilienda kwa mpenzi wangu kukata kiu baada ya kummiss kwa takriban siku 4 zote nilizokua Safari.
Nimeenda nimemfungashia kijizawadi,
Cha kushangaza nimefika nmeishia...
Kadiri unavyopenda zaidi, ndivyo unavyozidi kuumia. Yule unayempenda zaidi atakuumiza zaidi ikiwa huna uwezo wa kumwacha. Unampenda sana kiasi kwamba unavumilia madhaifu yake yote.
Upendo na...
Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?
Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana...
Wakuu,
Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!
Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake...
My heart is broken, this is not what our future was supposed to look like. Tears are flowing from my eyes, but no way, I can't stop what's happening!
I remember the day we met in one of the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.