Wananzengo kwema humu, binafsi nishaga ongea mbele ya Familia yetu nilikozaliwa kuwa sitaowa na sitaki michango yoyote ya harusi kutoka kwa kijana yoyote yule. Sasa basi Kwa kuwa humu wote nawale...
Hello mambo aje?
Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana...
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.
The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri...
Rafiki yangu alimlaumu kaka yake, nami nikaumia kwa kuwa nilifahamu kisa cha ndoa ile. Nitaelelza machache nayofahamu ambayo yaliniumiza.
Sitaelelzea ndoa yao kiundani ndugu wa rafiki yangu hawa...
It is very irritating, unahangaika kumtumia mtu mamia ya ujumbe PM Halafu hajibu wakati ni yeye mwenyewe ndio alikuwa anasema anatafuta mwenzi.
Mkiwapata semeni ili tusipotezeane muda
Tujifunzage kuwa unachoona huwezi kukiacha kutokana na mapenzi basi usikibugudhi au kukichunguza
Kwenye maisha yangu nimedate na wanawake lkn most of them wamenizidi umri one or two years
Kuna...
Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba?
Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au...
Nimesikia yote kuhusu malalamiko baina ya wanandoa ila kubwa imeonekana tatizo ni watu hawapati watu sahihi Mimi nimeshuhudia mke sahihi atakayekupenda story yenu iwe kama ifuatavyo.
1.Umzidi...
Heri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna muda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi...
Hello mambo!!
Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru.
Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na...
Mbali na kuwa kwenye ndoa ya wake wawili waaminifu, nina mchepuko wangu anayeishi mtaa fulani. Mchepuko huyu nilimpatia mtaji, kwa kuwa yuko na akili ya maisha, alifanikiwa kufungua biashara na...
Yes nilikua natokea Kilosa Morogoro kwa ishu zangu nikawa nimechelewa bus za moja kwa moja kutoka Kilosa mpaka Dar, ikanibid nibande gari mpaka Dumila ili nivizie gari zinazotoka barabara ya...
Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye...
Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi...
Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!
• Unatambua kuwa maji ya maiti ndo uwaga kunatoka dawa inayoitwa mnyonshe(au shuntama) daa ni huzuni ili jambo sio pouwa maji ya maiti (ndo maji pekee...
Hii topic ni ya mahusiano, suitable for MMU.
Ulimwengu na Taifa letu Kwa ujumla linapitia katika transformation kubwa ambayo ina athari kubwa sana, Sasa Kwa ambao at least tumezaliwa miaka ya...
Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa...
Nimetumiwa text huko private message ambapo mdada mmoja anahitaji nimshauri kuhusu changamoto ya mahusiano.
Fuatilia hapa anavyojieleza kuhusu hiyo shida yake na vile nilivyo mshauri.
Mdada ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.