Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Anandika Rose Shaboka Mwanaume huyu aliingia sokoni kununua machungwa. Akachagua lile aliloona linapendeza na kuvutia kwa muonekano wa nje akiamini na ndani pia litakua tamu na zuri kama...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Women are not less human, they are full functioning being just as men, with biological and social differences. Miongoni mwa ujinga wa mwanaume 1. Kuamini kua anahaki ya kuzaliwa ya ku cheat...
17 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo. Familia naihudumia kwa...
31 Reactions
284 Replies
13K Views
Haiingii akilini watu humu kutuambia wanaojichua tuichukie na kuiacha punyeto, mnaipiga sana vita. Sasa nina maswali yafuatayo, na sikatai kuwa punyeto ni mbaya; 1. Vipi kuhusu wale waliooa na...
18 Reactions
120 Replies
10K Views
Kichwa cha habari chahusika. Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?
6 Reactions
128 Replies
10K Views
Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Hili neno 'narattive' huwa linatumika sana kwenye siasa za kimataifa hususani kwenye mahusiano ya kimataifa. Narattive ni silaha moja muhimu sana katika kuhakikisha kwamba, nchi inalinda ideology...
2 Reactions
19 Replies
846 Views
Itoshe tu kusema, Sasa kaanza kujitambua, zile mbwembwe zake óhooo vile ohoooo vile ... Ni mbwembweee Wale Akina Dada mnaolewa kupigia Hesabu Mali ,mkishaona Mali Sasa zanoga mnaanzisha...
2 Reactions
6 Replies
981 Views
Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo? Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno...
21 Reactions
72 Replies
3K Views
Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine...
13 Reactions
89 Replies
4K Views
Mwanaume mwenye thamani mara nyingi hupata anachokitaka. Maana ya mwanaume wa thamani ni mwanaume ambaye ana mvuto wa kimapenzi kwa wanawake na pia wanaume wanataka kuwa kama yeye au wanamuangalia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasikitika kusema kuwa nimechoka kukaa baa hadi usiku wa manane kumsubiria hadi wafunge baa ili tu nihakikishe hajaondoka na mwanaume mwingine. Wakuu miezi kama mitano saivi nilipata pisi kwenye...
18 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili...
6 Reactions
196 Replies
20K Views
Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu. Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi, Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia. Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Niwe tu muwazi me mwanamke hata akiwa na tabia nzuri kias gan ila akiwa mbovu me ni hell nah Japo sina mpango wa kuoa hata ikitokea ila siwez kuoa chupi mbovu kabsa,mwanamke awe mrembo afu mengne...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia. Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi. Eti...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ugumu wa ndoa ni pale ambapo mwanamke / mke anajiona yupo sawa na mwanaume/ mume wake na hapo hapo anakataa kukaa katika nafasi yake kama mke na kung'ang'ania kwa nguvu kukaa katika nafasi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Out thereee wakuu... Kama unamfanyia chochote mpenzi wako mfanyie kwasabab unampenda na sio eti asichepuke, sio eti asikuache, mda ukifika utaachwa tu, mda ukifika utachapiwa tuuuu. Maamuzi ya...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu. Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom