Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni ujumbe kutoka kwa mke wangu,tukiwa katikati ya mgogoro mzito, mimi nikiugulia maumivu ya kusalitiwa,na yeye akitoa sababu za mimi kuwa chanzo cha yeye kunisaliti,kwa kutokuwa karibu take kwa...
11 Reactions
206 Replies
26K Views
Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana. Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba...
5 Reactions
3 Replies
721 Views
What is Life? Maisha ni mchezo mmoja ambao unachanganya sana. Huwa najiuliza hili swali na najua kuna baadhi ya watu washawahi jiuliza: Hivi uishi maisha gani ili ikifika uko mzee useme huna...
39 Reactions
199 Replies
8K Views
Ni vyema kusema kwamba kIla mwanadamu anastahili wa kufanana naye.Hakuna mtu anapenda kuishi pekeyake Milele. Kuna vigezo ambavyo vikizingatiwa katika kutafuta mwenza wa ndoa basi utaishi Kwa...
2 Reactions
8 Replies
454 Views
Hili ni jambo serious kidogo , binafsi Zero nimechoka kuwatafuna hao wake za watu, Nimetafuna mpaka nimechoka, wengi za hao wake zao ukiuliza shida ni nini mpka wanafikia hatua hii, wanaishia...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Natafuta mke wakuoa, mwenye sifa hizi Umri-25-40 Dini -yeyote Kabila -lolote Kazi- yeyote Sifa zangu ni Umri-34-37 Dini -mkristo Kazi-nimeajiriwa/kujiajiri Mwenye utayari anitafute kwa namba mke...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanaume wachepukaji nina swali Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia Kwa upande wangu me naona...
22 Reactions
224 Replies
7K Views
Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda...
13 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari wana MMU? Niende moja kwa moja, mimi na mke wangu tunaishi vizuri sana ila shida nimeoa sehemu niliyo pangiwa na serikali kufanya kazi. Kiukweli sometimes ndugu wa mke wangu walinipa...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Salaam tele ziwafikie Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Kaka si unajua kazi za mlima zilivyongumu kila safari nikipanda nikishuka nampa pesa. Mara 50 au 20 haipungui chini ya hapo Nampa alipie kodi ya pango anapoishi na matumizi kidogo kwa mwezi...
1 Reactions
7 Replies
436 Views
Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake...
8 Reactions
22 Replies
956 Views
[emoji3][emoji3] Nafurahi tu japo moyo unavuja damu Asee aliniambia mimi ndo mwanaume wa ndoto zake Hakuwahi kupata mwanamume kama mimi ninayempitisha kilele cha mlima meru na kilimanjaro Ni mimi...
2 Reactions
9 Replies
535 Views
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello, Nakumbuka mwaka jana nilikuwa mkoa mmoja si nikaopoa mtoto aisee mtoto ana nywele za kiarabu mzuri balaa tukakubaliana kulala 30K, nikachukua boda mpaka lodge niliyofikia tukaanza...
45 Reactions
383 Replies
47K Views
Ujumbe huu ni maalum kwako wewe mwanaume ambaye upo kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mtoto asiyekuwa wa kwako Kumchukia mtoto wa mke/mpenzi wako sio ujanja bali ni ujinga na unajipunguzia...
10 Reactions
233 Replies
13K Views
1. Kumpa uhuru wa kuhoji na kukushauri katika maisha yako. Asiwe kama mlinzi wa getini, kila kitu ni honi na muda wa kujua sasa ni saa 6 natakiwa kwenda kula na chochote akutacho kuta hana haki ya...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Ni uchungu lakini ndio ukweli wenyewe. Inawezekana umetangatanga sana kutafuta mchumba,mke au mahusiano mitandaoni. Sikiliza mke au mume huwezi kumpata mtandaoni. Wengi wa huku ni waigizaji ni...
4 Reactions
1 Replies
353 Views
Back
Top Bottom