Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii nimeona nii lete kwenu wakuu kuna jamaangu ali kuwa na mpenz wanapenda sanaa ila hajawahi kus#e&x nae kila akimwomba ana mwambia nitakupaa 🤭 ikafika muda mwamba aka chimba akamwacha manzi je...
1 Reactions
5 Replies
429 Views
Mama: calling-------- mimi: hellow mama shkamoo Mama: marahaba baba za uzima mimi: njema mamaangu mungu anasaidia vipi nyie hukoo mama: huku kwema baba ile hela nimepata asnte mungu akubariki...
2 Reactions
11 Replies
371 Views
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi...
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Nisiwapotezee muda moja kwa moja niende kwenye mada husika. Katika harakat za kusaka jinsi ya kukituliza kichwa kidgo ili kipate kutulia nikakutana na kadem kakitanga portable...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Heshima mbele kama tai Wana jamvi. Kwa mnaokumbuka January 30 2023 nlileta Uzi unaozungumzia kuhusu Mimi kumwagwa na single mama. Nimeona nilete mrejesho hapa wadau wanaweza kujifunza mawili...
3 Reactions
10 Replies
989 Views
Dah nilitongozwa na mjeda, nikaona simple kukubali siku zikapita penzi likakolea ikabidi ahack namba yangu bila mimi kujua. Hakuna kitu kilichokuwa kinaninyima amani pale alipokuwa akinambia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkiwa dini mbili tofauti mnaelewana sana kuliko kuwa dini moja. Asilimia kubwa watu walio na wapenzi wao dini tofauti ndio wanaongoza kuwa mahusiano mazuri na kuheshimiana sana. Kosa linapokuja...
1 Reactions
1 Replies
297 Views
Hope mmeamka salama Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona! Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya...
13 Reactions
84 Replies
4K Views
*Wenye pesa wanachapiwa. *Masikini wanachapiwa. *Wenye nguvu za kiume wanachapiwa. Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra. Lakini ukijikita...
24 Reactions
171 Replies
6K Views
Suluhisho la haya yote ni 2025 Mimi huyu Melki na midevu yangu iliyopangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu, mtu na heshima yake mtaani ambaye nikitoa wazo hata kwenye vikao vya halmashauri, mawazo...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Binafsi Ni mtu mmoja mpole Sana , na ni mtulivu pale inapo bidi Ni Kama introvert flani hivi nilie changamka. Pamoja na hayo Ni mtu ambaye nikisha mzoea mtu na mtu akanizoea basi ni lazima awe...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Mapenzi ukianza kusimulia utajaza server za JF.leo mnaona mtu mzima anapambana na vijana wadogo,ulikuwa wapi ?. Wengine wamekutana ukubwani basi tabu tupu.na mfanyakazi mwenzetu kaenda kuoa binti...
4 Reactions
11 Replies
775 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Bila ya kupepesa macho kitendo cha mwanaume kuwa na mpenzi anae jichubua au kuoa mwanamke anae jichubua ngozi ya uso wake na mikono ni ukosefu wa akili kabisa na...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa. Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa...
12 Reactions
58 Replies
5K Views
1. kichwani Pitisha mkono kwa nywele zake papasa sio umkune papasa. 2. Sikio Kidole chako fulani hivi pitisha shikioni au vizuri zaidi ukitumia ulimi kulamba sikioni. 3. Shingo/Kisogoni Nayo...
2 Reactions
7 Replies
797 Views
Salaam wakuu natumaini mmeingia mwaka mpya na afya za kuridhisha kabisa Mwenyezimunguvashukutiwe kwa hili.. Straight to the point kama inavojieleza juu hapo kuna ile shida huwa imatokea kwa mtu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk. Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja Miaka kadhaa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiwa na uhusiano na mwanamke mwenye mtoto, hasa wa kiume, siku zote yule mtoto anakuona kama mvamizi kwenye maisha yake na mama yake. Na akikua kidogo akajua unamnyandua mama yake, ujue...
33 Reactions
87 Replies
6K Views
Back
Top Bottom