Ndugu zangu,
Natumai ndo mmetoka kibaruani au wengine ndo mama wa nyumbani kama mimi, wengine ndo kwanza wako kwenye vyombo vyao vya usafiri kurejea home.Poleni na mihangaiko ya kutwa.
Wana...
Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia...
Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana...
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.
Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa...
Ukiwa kwenye mahusiano yoyote lengo lako liwe ni kukua katika kila nyanja zaidi ya jana.
Kukua kimwili (je uliyenaye anakusaidiaje kuwa na afya bora zaidi?), kiakili (je, uliyenaye anakupa...
1. Sheria ya ndoa inamtwika mwanaume Jukumu lote la ustawi wa uchumi wa familia. Mwanamke akifanya kazi yenye mshahara mkubwa na akagoma kuhudumia familia, Sheria inamlinda. Kwahiyo hakuna haja ya...
Mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida na uamuzi wa kukubali au kukataa upo ndani yake,si lazima wala hamna mahali pameandkwa mwanamke ukitongozwa Ukubali kuwa na huyo mtongozaji.
Lakini leo...
Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke. Piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka...
Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa.
Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka...
Alikupa nini Yule mwanamke au mwanaume ambacho haujawahi kupata tena Maishani mwako katika ulimwengu wa kunyanduana?
Nilikutana na papuchu yenye joto nachokumbuka nilipiga Goli 5 kwa usiku mmoja...
Kumekuwa na mfururizo wa nyuzi za kuwashambulia wanawake kwa njia mbali mbali sijui wanawake wa siku hizi ni hivi na vile, lakini haya yote chanzo ni sisi wanaume.
Na sema hivyo kwa sababu...
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).
Aisee yatamtoka...
Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona...
Wanawake sijui sometimes wanakuaje?
Jana nimepiga kazi flani nikabahatisha laki moja cash. Narudi home tumepiga stori mbili tatu na mke mkubwa then nikaenda kwa mke mdogo jioni hiyo.
Sasa kufika...
1. Baba yake Kafa
2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni
3. Baba yake akitaka Kumuua
4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake
5. Ndugu za Baba yake wamemkataa
Ila nje ya sababu hizi au kama huyo...
Anaandika MWAJAKU a.k.a DC wa Insta
#FACT- MWAMBINO chukua hii , Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linakokwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli ,na moyo wenye...
Niavipi wakuu, najitoa muanga, kuwasaidia wanajamvi, wanandoa wanaume, mkoani kwetu mbeya, idadi ya wanaomiliki uchumi na waliojenga nyumba ni wanawake zaidi, wanajituma sana, pale mkoani kwangu...
Habari, mimi ni mtu ninaye poteza mahusiano mengi sana na katika hayo mahusiano yanayopotea nalaumiwa Mimi kama chanzo.
Hii yote ni kwa sababu naishi katika mahusiano kwa attention mfano nikianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.