Kazi iende na dawa hata pesa iende na huduma unayopokea.
Huyu ni mwanadada mmoja tulianza mahusiano late 2015 hakua na mbambamba, she gave everything and everytime alikua na uwezo wa kusafiri...
Kipindi ujaingia kwenye ndoa hakuna mtu yoyote anayekusumbua ila ukiingia kwenye ndoa tu ndio balaa.
Ili swala kwa upande wa wanaume ndio wanasumbuliwa pindi wakiingia kwenye ndoa.
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form...
Eti umemwona mwanamke mrembo anapendeza ukavutiwa naye umtongoze? Basi jua unalolitafuta utalipata.
Soon ukishakuwa naye tu utagundua ana matatizo ya kodi, mtoto au watoto, mzazi wake mgonjwa...
Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu...
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto...
Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto...
Mapenzi hayana heshima kabisa
Juma tatu ya last week mpenzi wangu alinitambulisha mdogo wake. Ila cha hajabu sasa nahisi moyo wangu umetokea kumpenda mdogo wake saana kuliko dada yake.
Mdogo...
Wana MMU, heshima kwenu.
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato...
If you're not financially independent by the time you're 40, those $10,000 vacations, exotic sports cars and $200 dinners need to wait.
My dear you need to know that the world's best habits are...
Inauma sana ukipata taarifa kuna mtu kajiuwa kisa (Mapenzi) siwezi kujaji sana maana kuna watu wanapenda mpaka wanakuwa addicted like(Mdogo angu)
Kabla ujasalitiwa jiulize swali, mapenzi nini...
Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa...
Mkasa wa kwanza
1.Tukiwa wote mapokezi, tulipewa kitabu tuandike majina, lakini mpenzi wangu akakataa, akataka mimi ndiyo niandike tu.
Nami nikakataa, nikiwa na hofu, kwanini yeye hataki...
Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua...
Ni chukizooooooooooooooo. No submission. No respect in the house.
Mwanamke anaongea kama cherehani hatulii hataki kugusa kazi yoyote ndani ya nyumba yeye ni kama mwanaume. Ananuna nuna tu...
Zijue tofauti mbali mbali Kati ya wanaume masikini na wanaume matajiri.
1.ulaji; siku zote kula ya mwanaume wa kitajiri kamwe haifanani na kula ya mwanaume wa kimaskini.Hapa sizungumzii uwezo wa...
Sijawahi kuandika chochote kuhusu mapenzi humu nadhani hii itakuwa ni mara ya kwanza
Umewahi kuona unampenda mtu ghafla tu na usijue kwanini? Basi yamenikuta mwenzenu kwa mtangazaji wa Azam...
Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga...
Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka.
Naomba niende moja kwa moja kwenye...
1; Waliochezea nafasi za ndoa na sasa wakati umepita nawamekata tamaa.
2: Wanaotumia muda mwingi kusoma na kufuatilia mambo hasi kuhusu ndoa. Kwa hiyo wanadistorted view kuhusu ndoa. Akili zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.