Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jamani kumbe hamu ya mwanamke inakuwa sawasawa na muwasho wa sikio........ukiwashwa na sikio cotton butt/nyoya la ndege (kwa sisi wengine) lazima vihusike. Kama ni hivyo, ni vipi basi mwanamke...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Happy Valentine's day in advance dear MMU members... In particular, a very special Valentine's day goes to all my JF babies and buddies 💕💖❤💗💓💜💕💖❤💗💓💜💕💖❤💗💓💜💕💖❤💗💓 Enjoy responsibly
20 Reactions
122 Replies
3K Views
Ndugu zangu kabla sijaowa nimekuwa kimahusiano na baadhi ya wanawake wa makabila tofauti tofauti japo siyo yote. Ila haya makabila yanayosifika kuwa mwanaume akiingia hatoki, kwa maana wanajua...
33 Reactions
495 Replies
37K Views
Nakumbuka mwaka jana nimetoka na Demu wangu out sasa sio mpenzi sana wa haya mambo ila nilifanya hivyo kumfurahisha. Tukafika kahotel kamoja kako busy sana na kana wazungu wengi, kiukweli mimi...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Salute comrades.Wanaume wenzangu njoo tuambizane kitu.Wanasemaga every person has his/ her own tastes and preferences when it comes to matters food, colours, clothing and e.t.c. Sasa inapokuja...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Naomba mwenyeji wa Sumbawanga, mwelewa na mwaminifu anayejua na awe Mzaliwa wa huko . Pili hata kama so mzaliwa awe tu mwelewa na sehemu za hukoo
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Hello Hali si Hali huko kwenye taasisi ya ndoa. Dar pekee Wanaume 2,000 wamekimbia ndoa baada ya kuonja joto lake so wame graduate kuwa mabachela Sugu. Kama trend ndio hiyo na Talaka Kila siku...
11 Reactions
131 Replies
5K Views
Hapa povu ruksa Ila Kila mtu anauhuru wa kutoa maoni bila kulazimishwa. Kutokana na experience yangu nazani hayo Ni maoni yangu mwenye mtazamo tofauti njoo weka hoja hazarani
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Siku moja kuna jamaa, si rafiki yangu lakini tulikuwa tu afahamiana nae, amekuja na story kuwa alikuwa amevutiwa na msichana niliyekuwa natoka nae. Sikufahamu dhamira yake ila nilimjibu tu...
1 Reactions
13 Replies
767 Views
Nalia na naumia sana moyoni mwangu Hata mke wangu mkubwa simjali kama ninavyomjali yeye Kila siku nimeweka bill ya maziwa fresh lita moja na mtindi nusu lita. Na bado matumizi mengine kama...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Usiku tulivu kwenu! Mama wa mumeo mtarajiwa alikuwa anahakikisha mwanawe anakula kwa wakati je, wewe binti utaweza kumpikia kwa wakatu kama mama yake? Mumeo mtarajiwa alikuwa akidekezwa na...
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Ikiwa ni mara ya kwanza unakutana naye, ulihisi mapigo ya moyo wako yakienda kasi… vipepeo tumboni mwako… unahisi kama ulikutana naye hapo awali…unalazimika kuongea naye…huwezi kumwondoa kichwani...
3 Reactions
1 Replies
441 Views
Mdaa huu tupo na jamaa kachanganyikiwa baada ya kusikia rafiki yake kumzunguka na kumpa mimba mpenzi wake. Tulimkanya sana jamaa ila kwa vile tukisema ukweli tunaonekana wachawi na watu wa wivu...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Nilienda Kwa jamaa yangu Ifakara kusikilizia harakati zinavyoenda ikiwezekana na mimi nijichanganye area hizo ili niweze pata chochote so ikawa tunadamka asubuhi tunaenda ofisini kwake then jioni...
47 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari wakuu! Nimeona nisogeze hii tuipate hapa jukwaani Enjoy!
1 Reactions
2 Replies
585 Views
Habari JF, Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu. Kwa upande wangu iko hivi. Ninaishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi... Natumai siku ya tar 14 ilikua njema kwenu lakini kwa upande wangu haikua poa. Jana nimekutana na mpenzi wangu wa muda mrefu katika hali ambayo...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Hivi inakuaje unaweka kabisa dhamira na kuitekeleza ili tu utimize haja zako huku ukimuachia mtoto kovu lisilofutika kabisa katika maisha yake hapa duniani? Cha ajabu mmekuwa mkijinasibu kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Wasalaam JF Kama mada inavyojieleza, Nianze mimi Nina kawaida huwa siwazi kuhusu wanawake, ila inapotokea kunyandua nawasemesha na ikitiki nakwenda kunyandua. huwa siwazi kuhusu wanawake kabisa...
1 Reactions
5 Replies
472 Views
Back
Top Bottom