Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwa mlioko Dar, Poleni kwa mgao wa kuanzia maji, umeme mpaka mapenzi, ila ndugu zangu tutafika kwa Baba tuko hoi sana maskiini, imagine duniani tunateseka hivii na bado huko naskia kuna moto...
78 Reactions
244 Replies
24K Views
Nimekutana na wadada wengi wasomi wanahangaika kutafuta wanaume wa kuwaoa, mpaka wengine wanaamua kuzaa tu na yeyote baada ya kuona umri unaenda bila kumpata mwanaume wa kumuoa. Je, unafikiri...
17 Reactions
301 Replies
17K Views
Here why! 'Cause I am hooked on yuh lovin like a big snapper fish Di way yuh look di way yuh dressed a dat mi caan resist Yuh personality there's no odda like it Buji Buji tellin' di world woman...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi. Usalama wanaotaka ni usalama wa...
11 Reactions
101 Replies
6K Views
Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakati nasoma nili jihifadhi sana ni siazishe mahusiano prematurely kwa lengo la kutoharibu hisia zangu kwa mke/ au mpezi asie sahihi. Kusema ukweli mimi nilichelewa sanaa kufanya mapenzi paka...
17 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse. Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii...
15 Reactions
64 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kuwapa big up wanaume wote mlioachana na mambo ya mahusiano na kugeukia upande wa kununua, kuchakata na kusahau, hakika tunaupiga mwingi Kwanini mbususu za kununua ni bora...
31 Reactions
68 Replies
6K Views
Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Hivi kati ya wanawake hawa ninani ambaye anaweza kuwa mke bora kwangu Wa kwanza ni mwanamke ambaye tuseme mauzo ni mtu wa ma showoff saana Uzuri wa huyu mwanamke anajua kumtunza mwanaume saana...
1 Reactions
9 Replies
606 Views
Wakuu, leo Naandika kwa uchungu Sana, Hivi karibuni Nilikua Kwny msiba wa mfanyabiashara mwenzangu alifariki. Baada ya msiba kimekaa kikao Cha mirathi.Kama marafiki na washirika wa karibu wa...
22 Reactions
184 Replies
7K Views
Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima. Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia...
4 Reactions
126 Replies
6K Views
Leo tarehe 13 mwezi February ni Valentine's day maalum kwa wale ambao kesho hawawezi kuwa pamoja; michepuko, wapenzi wa siri nk. Kesho ni kwa wale wapenzi rasmi. Hasa kama kesho una mpenzi rasmi...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
People always going on about how women are hypergamous and expect a super high income bla bla bla - only true if you live in a third world country. You know what's rarer than money in the west...
8 Reactions
88 Replies
2K Views
Mpende sana mama mzazi, mpende sana mkeo mama wa watoto wako. Mungu awabariki sana. Happy Valentine's day.
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Kwanini wanakata viuno na wanafundishwq kukata viuno msingi wa hizi trainings au mafundisho ni nini? Tusipoteze nguvu sisi tutafute pesa wao waburudishe naongezea hapa chini maelezo. Katika akili...
5 Reactions
19 Replies
864 Views
Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana...
1 Reactions
9 Replies
760 Views
Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki...
33 Reactions
112 Replies
4K Views
LIKE is skin deep. LIKE leads to sex with no commitments. They leave you after sex. When you LIKE someone, moving on is a piece of cake. Their absence in your life doesn’t make much difference...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Way back nilimpenda sana nilionyesha wazi, lakini alikuwa mguu nje mguu ndani kwamba ningemchezea, ilinivunja moyo na toka hapo mawasiliano yalipungua. Simu sometimes sipokei, sms sijibu au...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom