Pose like you only mind your own business, umuhimu wake kwako ni wa kawaida sana huna shobo kiviiile.
Instead mpigie simu mama yako ama someone else unayemkubali kwenye harakati zako.
Wanaume...
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na...
Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko.
Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga...
Kuna uhaba sana wanawake kuingia kwenye ndoa mpaka wengine kwenye dini za ndugu zetu waislamu kuomba kuwa mke mwenza.
Wanawake wengi wamepata msongo kutokana tabia za wanaume kutoonesha nia ya...
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre...
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.
Ninaongelea wale wenye mega...
Habari zenu,
Nina shemeji yangu kaachwa na mume wake huko Arusha yeye ni mchaga wa kawawa rd na ni wa kike na mumewe anaitwa Iddy yaani hadi najuta kwanini sikusuluhisha hiyo ndoa japo nakiri...
Naandika hili hapa kwa moyo mkujufu, sina kinyongo na wala sijutii ila namhurumia sana.
Mwaka 2015 ilikuwa ni first appoitment yangu as mwalimu, nilimkuta huyu binti akiwa kidato cha tatu, baada...
Ndugu habari
Katika maisha tunapitia nyakati za furaha na huzuni, nyakati za furaha huwa hazidumu sana ila nyakati za huzuni zina dumu na kujiludia mara kwa mara, na wakati mwingine zina fanya...
Ukiwa ni msimu mwengine, episode ingine ya wapendanao ambayo itaadhimishwa kesho na tukiwa tumebakiza masaa tu ni vyema kukumbushana vijana kwa wazee kuwa karibu sana na wapendwa wetu ili...
Wanaume tumejaliwa vitu vingi unique kwa upande wetu ila hatuvioni. Sisi pia ni Cake.
Wanaume wengi tunateseka sababu ya kujirahisisha kwa wanawake na kuwaona wao ni Cake kumbe ni ushenzi wa...
😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya :
1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike
2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda...
Changamoto hii vipi?
Majambazi yamevamia nyumba usiku, yakataka wenye nyumba watoe hela na vitu vyote vya thamani.
Baada ya kukabidhiwa kila walichokitaka, wakampa mume wa nyumba bunduki...
Mke wangu alichukua simu yangu na kufuta namba ya mpenzi wangu Naomi kisha akahifadhi namba yake kama Naomi. Sikujua kuwa kuna mtu alimwambia mke wangu kuhusu Naomi.
Nilipokea SMS kutoka kwa...
Siwezi kuficha furaha yangu kabisa ama hakika nimekomaa lakini daah hapana siwezi kuificha lazima niwachane na kuwaambia ukweli jamani nimepata watoto wawili mapacha mmoja ni wa kiume na mwingine...
Salamu kwenu wapwa,
Nadhani hata wewe imewahi kutokea hii sometimes, kuna muda inatokea unaambiwa “I miss you” na mtu ambae kiuhalisia hata hujammiss; yawezekana akawa mpenzi, Ex, rafiki au...
Kuna tatizo sana la wanawake wazuri ujikuta wakiangukia sehemu wasizo zitaka kama ilivokuwa mwanzoni.
Mwanamke mzuri anapojijua kuwa mzuri uweka vigezo vingi kama kupata mtu mwenye uzuri kama...
Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera.
Nilikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.