Heri ya X Mas na mwaka mpya. Kutokana na hali hii inayoendelea sasa huko Ukraine iliyosababishwa na Rais wa Urusi V Putin, hivi kwa nini Wamarekani na teknolojia yao yote wasimu assassinate Putin...
Ujumbe kwenye picha unahusika sana....
Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania.
Sasa wewe tumekutana leo leo halafu...
Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango.
Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa...
Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi?
Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya...
Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani.
Mrefu mwembamba ,
Mrefu mweupe mwembamba
Mweusi mrefu mwembamba
Au saizi ya kati mweupe mwembamba
Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe
Au...
Tunaomba mrejesho Kuna vijana humu tuliwatoa muhanga kuingia kwenye ndoa, hamjaleta mrejesho kama hali ni mbaya au inatisha. Ila kusema hali ni shwari huo ni uongo maana wengi mnazidi kupauka na...
Habari za leo wanajukwaa. Ki ukweli mimi sio mwandishi mzuri kama Mzee Deepond na wengine lakn natumai ujumbe utaeleweka.
Binafsi tulizaliwa wawili tu kwenye tumbo la mama yangu. Baba yangu mzazi...
Habari wakuu
Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa...
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.
Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia...
Muafaka
Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.
Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.
Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa...
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa...
Kuna sababu nyingi ambazo husababisha wanandoa kuvurugana, Ila uchoyo ubahiri ubinafsi na mambo yanayofanana na hayo husababisha mivurugano.
Kwa kawaida wanaume ni rahisi sana kutamani ngono...
Wakuu swalama
Binafsi katika maisha yangu ya uchakataji wanawake zaidi ya Yutong 2 sijawahi kuchakata demu mnene iwe sana au wastani.
Sasa hivi karibu nimepata pisi ila ni bonge wa wastani...
Ndoa ni hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mme na mke na kutengeneza taasisi ndogo ambayo ni familia. Malezi ya familia ndiyo chanzo cha taasisi zingine na jamii au taifa kiujumla...
Wasalaam JF
Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili...
Wanawake sasa wanaona kuhongwa ni haki yao. Kupewa pesa imekuwa ni lazima, usipowapa pesa wanakuacha na kukupa majina yote mabaya.
Yaani naanzaje kukupa wewe pesa kisa tu mbususu?
Kila mtu...
Leo nilihudhuria leaders pale.
Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon [emoji125]. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri...
Habari.
Kwani vipi mbona kulazimishana sana kuoana kwani Tumewaambia Hatutaki.
Mshana Jr uzi wako ule ni mzuri sana ila bado haujaelewa wakataa ndoa wana maanisha nini?
Tafuta muda pitia hoja...
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.
Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka...
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.