Binafsi nakumbuka siku moja hivi tuko kijijini na mzee tumepanga kesho yake tukamtembelee babu, baba yake mdogo baba ambaye alikuwa anaishi kilometa kadhaa kutoka tulipo (KM 7).
Wakati huo...
Katika maisha hakuna usawa baina ya mwanamke na mwanaume , na ijulikane wazi pia hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke..
Unapo taka kuoa na ukampata mwanamwali unaetarajia kumuoa jitahidi...
Natamani nikiwa mkubwa niwe moderator wa JF. nitafurahi. Nitawachakata sana wadada wa humu. Sana. Ukinikataa basi nakutafutia ban anytime. Nikiona tu umeangalia vibaya thread ya mtu nakupiga ban...
Hali ni mbaya sana,
Naombeni mnisaidie kwa kweli, nimetoka zangu kwenye mizunguko nikajisemea leo ni weekend acha ni wahi home nikapumzike kwasababu wiki nzima nilikua nimechoka sana na majukumu...
Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi.
Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake.
Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume...
Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;
SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?
Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Hawa wanawake suicidal ni wale warembo kukitokea ugomvi wowote tu anatishia kujiua.
Binafsi nilipitia hii changamoto kwa muda mrefu na ilinitesa saana. Kimoja ni insecurities na kuwa suicidal...
Kama wewe binafsi umeona CHANGAMOTO ZA NDOA zinakwepwa kwa kutokuoa...basi BAKI HIVYO HIVYO NA UFUSKA WAKO USIOE...
Sio kutwa kushinda kusambaza kampeni ya KISHETANI usioe...eti kisa ndoa ina...
Popote ulipo ikiwa uliweza au umeweza kuoa mwanamke ambaye ulimkuta na mtoto au watoto tayari, basi una roho ya nzuri sana na Mungu akubariki sana.
Binafsi mwanamke nispomkuta na usichana wake tu...
baada ya mimi kutoa manung'uniko yangu kuhusiana na suala ambalo nililiona gumu sana la kutoa bikra kwa msichana mmoja mrembo aliyejawa na woga. mwishowe nilipata mtu ambaye alinipa ushauri namna...
Basi bwana, nimetaka kidogo tupozane hapa wakereketwa wenzangu, maana kuna nyakati zinapita kila mbinu unayofanya uzamie kwenye mahusiano zinafeli, Unahisi kama umetupiwa kibao cha mungu.
Binafsi...
Wasalaam JF
Ndoa nyingi za huko mahekaluni ni feki.
Sababu hizi
1. Kama hujaoa bikra na mwanamke hajatubia hio dhambi
2. Alievunjwa bikra na asiye mumewe hafai kuolewa.
3. Kama mshazini na...
Katika mambo ambayo yanamfanya mtu aheshimike kipekee kabisa mahali popote ni uwezo wake wa kujizuia(Self-control). Kuzuia tamaa za mwili wake na kuchuja fikra zake kabla hajatamka kwa kinywa...
Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama...
Hawa vijana wa Sasa hivi sijui shida huwa nini lakini unakutana vijana anakwambia anataka kuoa lakini still Hana kazi yeyote inayompa kipato , bado yupo nyumbani anategemea wazazi ivi ni wapi...
Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa.
Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba...
Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu. Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.
Wakati...
Bado tuko kwenye majonzi ya kumpoteza mwana JF mwenzetu aliyefariki Riverside kwa ajali ya pikipiki siku chache kabla ya ndoa yake.
Matukio ya namna hii ni mengi na si haba kila mmoja wetu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.