Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salaam JF Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez...
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho...
3 Reactions
14 Replies
595 Views
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes! Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri. Una familia yako mke na watoto na una mchepuko...
19 Reactions
73 Replies
6K Views
Ukiona umekataliwa na mwanamke/mwanaume usihuzunike wala kukata tamaa, Maana hujakataliwa wewe (as a person) bali imekataliwa ofa yako uliyo toa.......,
8 Reactions
20 Replies
978 Views
wanajamvi pole na majukumu kwenye mada tafadhari wakati wa mizunguko yangu ya hapa na pale nimekutana na mzee age kama 88 anaonekana kuchoka sana katika maelezo ametembea km 15 mavazi yake...
0 Reactions
9 Replies
350 Views
Unaweza kuwa mzuri na mwenye fadhili na bado ukasema HAPANA kwa watu. Neno HAPANA ni sentensi kamili inayojieleza. Hauhitaji ueleze kwanini hautalala na mtu asiye mume ama mke wako. Sio lazima...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia...
1 Reactions
17 Replies
426 Views
Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu...
5 Reactions
19 Replies
539 Views
Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini. Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Aidha ulikua unamchukulia poa tu au kazi zimekulemea kiasi kwamba mahusiano yakaterereka. Kipindi chote iko mwanamke huvumilia lakini akishachoka kuvumilia basi. Mwanamke hupenda taratibu vilevile...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii hali imenitokea mara kadhaa nashindwa kuelewa kwanini? Ilikuwa 2018 nilimtongoza binti mmoja alikuwa jirani yangu, ukweli alikuwa muwazi akaniita akanambia kweli sina hisia na wewe na sipendi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili 1) KATAA NDOA 2)KUBALI NDOA Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu "Hakuna umuhimu wa...
27 Reactions
363 Replies
13K Views
Wakuu, Kabla sijampata miss right one, kuna wanawake nimekuwa nao lakini kila tukivurugana walikuwa wana tendency ya kuniambia kuwa siko romantic, lakini nikijicheck me nilikua nawatimizia...
4 Reactions
107 Replies
18K Views
Hii ni kitu ambayo babu zetu na baba zetu walisumbuka sana kukipata na ili wakipate ili bidi wafanye mambo makubwa kwa baadhi ya makabila. Wengine hadi kuua simba. Lakini kizazi hiki kitu...
2 Reactions
6 Replies
516 Views
Amani iwe nanyi wana MMU. Long live JF. Ebwaana eeeeh twende kwenye mada sasa kumezuka tabia moja ya kimalaya na kiwaki sana sikuhizi sijui ni upande wangu au na wengine pia mtaleta shuhuda...
17 Reactions
167 Replies
5K Views
Habari wakuu. Tatizo gani kiufundi limetokea mbona penzi limekuwa linapatikana kwa urahisi sana tofauti na miaka hiyo. Principal zimekuwa chache sana leo hii yaani ukichukua namba tu Tayari...
2 Reactions
3 Replies
385 Views
Hi, Katika maisha unakuta kuna mtu anampenda mmoja kufa, yaani moyo wake hapo unadondokea na kutuama kabisa, hauendi tena kokote, hauoni njia nyingine, yaani ndo mwisho wa...
19 Reactions
291 Replies
9K Views
Mlikuwa katika mahusiano na hamkuwahi kukubaliana kuzaa mtoto, bahati mbaya au mzuri mkatiana mimba mtoto akazaliwa, Je, huyo mama wa mtoto ana haki yoyote ya kumchukulia hatua baba wa mtoto...
4 Reactions
85 Replies
7K Views
Wasalamu wanajamvi Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana. Sasa...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom