Hamisa Mobeto.. mwanamke mrembo, asiyechosha machoni, asiyekinaisha moyoni..
Wataalamu wamekosa kipimo sahihi cha umri wake, kwa pamoja wamejiridhisha kuwa huyu mdada amegoma kuzeeka.
Ni mama wa...
Tukisema Mikakati ni pamoja na kukubari kuwa 50/50 ipo na inafanya kazi na wahanga wa hii mambo ni wanaume wapambanaji.
Tabasamu lake la leo ndio machungu yake ya kesho. Hayo meno yanayokusisimua...
Wanajamvi habari za majukumu,
Napenda niongelee kitu govi!
Hii kitu bwana ipo sana maeneo mengi kwa Tz, japo kuna makabila hawana hii kitu. Si kwa sababu hawazaliwi nayo, hapana! Wanataratibu...
Kisa hiki ni cha kweli kabisa na kimetokea hapa Tanzania.
Mtu Asiyejulikana alimuoa binti ya watu, akakaa nae kwa miezi michache sana, akamucha kwa kejeli akaenda kuoa binti mwingine. Huyu...
Urafiki na ukaribu wa wanandoa hauanzii kitandani - ukaribu huanza na ulimi wako na hutoka moyoni mwako.
Mpongeze mpenzi wako kila siku.
Onyesha upendo kwa wingi.
Mchombezee maneno matamu kila...
Nimekua JF kitambo lakini jukwaa langu pendwa ni kule Siasa, ila masiku ya karibuni nikaanza kuingia humu na kwakweli nimejikuta nnapapenda kutokana na story za kuvunja mbavu zilizopo.
Kuna huu...
Wanaumeee, léo ngoja tuzungumze hapa kuhusu mjadala huu unaotrend sku mbili hz hapa JF, lakin ni mjadala mkubwa si tu hapa JF bali ni dúnian kwa ujumla
Suala la talaka limejadiliwa mnoo, kila mtu...
Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo...
Huwa napataga ukakasi sana kuandika about my love life. Na hii inatokana na ukweli kwamba, kwenye mahusiano furaha uwaga tunaiforce sana, nguvu inayotumika ni kubwa ili kuhakikisha tunamaintain...
Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama...
Mahusiano yana raha zake na shida zake, ila kuna kitu cha kujifunza na kukiepuka mwanamke na mwanaume. Kila jinsia katika mapenzi huwa na mategemeo yake na hivyo ujipambanua pindi tu unapotongoza...
Wazima
Inachukua muda gani kuanza kunyanduana mara tu baada ya mke kutoka kujifungua.?
Leo ana siku ya 60 nimemuomba anagoma kunipa anadai hadi miezi sita nimemwambia ntachepuka.
Ndo maana mimi binafsi maswala ya kutambulishana kwa makabila huwa sipendi naona kama inakuwaga na ka utengano flani hivi na watu wengine....
Tuachane na hayo me nauliza tu hivi kabila letu sisi...
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni...
Wasalaam JF
Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba.
Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono...
Iko hivi! Kwenye haya Maisha usiwahi kumwamini MTU hata siku Moja Imagine Doctor Mwaka kila siku anatuhubiria ana Dawa zinaongeza Nguvu za Kiume na sasa kaachwa
Watu wengi hasa nchi hii wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya nani mke mzuri wa kuoa.
Zifuatazo ni baadhi ya sifa za jumla ambazo wana zipendekeza, awe msomi, asiwe anatoka familia yenye magonjwa...
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.