Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Humu ukiongea umalaya watu wazima mnoo wanashadadia ila ukiwa unataka vitu vya maendeleo huaambiwi Leo umetolewa machimbo ya waganga makonki walipo ila mtu alipokuwa nauhitaji mliona ni ngumu...
4 Reactions
30 Replies
965 Views
1. Msimamo Kuonyesha upo naye kwenye wakati wote iwe kwenye shida na raha, kwenye changamoto zake na zako. Kuacha ile tabia ya pale unapokuwa unahitaji kitu toka kwake unakuwa mpole ila...
0 Reactions
14 Replies
914 Views
Nisiwachoshe na masalamu.....ilikua ni siku ya jumanne ambayo ilitakiwa tusafili kifamilia kwenda huko kukutana na wanafamilia wengine(ukoo). Basi hapa nyumba naishi na ant wa mke wangu huyu ni...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanawake ni viumbe wanaopenda kufanya udadisi hasa linapokuja suala la mahusiano. Hii ni kwasasabu wanawake hawaridhiki mpaka wapate kile wanachokitaka, kabla hawajakipata hicho kitu mawazo yao na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa. Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja...
9 Reactions
89 Replies
3K Views
Ukisema nikimbilie huku kosa ili mradi tu, yani wanawake ni viumbe vya ajabu sana. Kipindi sijamuoa mda wowote na wakati wowote napewa ili mradi asiwe kwenye siku zake.kaka shetani nikaona mda wa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za wakati huu Ukiona mwanamke ametoka kujifungua na anakubania sana kukupa utamu ndugu yangu hata ukibembeleza na kuomba sana akupe penzi na hakupi bali anakuzungusha miezi na miezi na...
3 Reactions
11 Replies
870 Views
MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
JE WAJUA? PSYCHOLOGY INASEMA: Watu ambao wapo Single wanauwezekano mkubwa kufanikiwa katika maisha yao kuliko ambao wapo katika mahusiano. Hii imekaaje, Psychology imetupiga Fix au ni kweli...
1 Reactions
82 Replies
3K Views
Habari. Matarajio ya maisha tofauti na uhalisia wenyewe. Ukitaka kujua rangi zote za mwanamke ,tabia zote zuri na mbaya usizingatie sana kwenye mahusiano maana hapo kuna kuwa na unafiki fulani ...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Namtizama nasema hiiiiiiiih. Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima. Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee. Maandalizi yake ni bab kubwa.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanan jf. Kwa sasa wanawake wetu mtaani wamekuwa warahisi sana katika kututunuku Tunda. Yaani kwa miaka ya zamani ,ilikuwa inatumia muda mrefu sana katika mchakato wa kutongoza hadi kufika hatua...
2 Reactions
14 Replies
914 Views
Nisiwe muongeaji, lakini haya ndiyo maneno kutoka kwa mke mtarajiwa wa mtu. Na kama mume asipocheza kama Pere, ataambulia vijusi visivyo damu yake. Sintokosa kwenye harusi yenu[emoji16] Nitakuwa...
12 Reactions
138 Replies
6K Views
Naombeni ushauri, Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa...
21 Reactions
85 Replies
9K Views
Wakuu, Nina siku ya pili sijaenda kwa Mchepuko maana hivi karibuni kuna namna niliharibu kwa wife kwahiyo nilikua kwenye mission ya unyenyekevu, kuwahi nyumbani na kuonyesha upendo ili kuweka...
16 Reactions
201 Replies
10K Views
Habari Wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie...
5 Reactions
106 Replies
7K Views
Kuna mwalimu ninaposoma nimetokea kumpenda sana lakini siwezi kumwambia, hata yeye pia nimegundua ananipenda lakini hayupo tayari kuniambia nimemuonyesha kila dalili kama nampenda lakini hataki...
8 Reactions
229 Replies
31K Views
Nimiaka Sasa bado wanaume wenye sura nzuri,ongea Yao na tembea Yao na mavazi huwadatisha wanawake hata watu wazee wanaume Kwa wanawake wanakushauri uolewe na Fulani nasio Fulani ambaye yupo yupo...
8 Reactions
89 Replies
2K Views
Back
Top Bottom