Hello.
Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum?
Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki...
Huyu dogo Diamond Platnumz ana nyota ya mtumba mapenzi.
Kila demu anayezaa nae anakuwa tayari ana watoto au mtoto kabla, hajawahi kuwa na mtoto kifungua mimba.
Bujibuji nina watoto tisa, kila...
Narudia tena mwanamke hata kama unampenda vipi lakini kama hana ule uelewa wa Kuna kupata na kukosa atakutesa katika maisha yako .
Kwa maana ukikosa atakusimanga na kukusema mpka Dunia utaiona...
Habari za wakati huu waungwana. Naombeni uzoefu wenu kuhusu wanawake wa Mombasa!
Wanatabia zipi kwenye mahusiano? Ni miezi 3 tatu sasa tupo katika dating, by the way hatujakutana kulana. Amesafiri...
Poleni na changamoto za hapa na pale za hawa wake zetu au mademu zetu
Kiukweli demu wangu siku ya birthday yake alitarajia labda ningemfanyia suprise au ningempa mahela na zawadi kede kede ila...
Nina jirani yangu kaoa, yeye na mkewe hawana shida ila mama yake mshkaji akija tu kuwatembelea anaanza kumpa stori mke wa jamaa kuhusu ma x wa mshikaji.
Jamaa akipata safari tu mama mzazi akiwepo...
Makamanda nipo unguja muda huu,,,
Ushauri kwa vijana.
Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire...
Habari wakuu!
Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya
mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa...
Morning guys,
Lengo la kuandika hii nimepitia uzi mmoja jamaa anasema wanawake hata kazi wakifanya hela yao huioni, sasa maana ya 50/50 wanaidai vipi hawa wanawake?
Ili 50/50 iwe applicable...
Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau.
Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho...
Jamaa yetu tunayefanya naye kazi katupa stori tumecheka balaa.jamaa ni dereva alikuwa anasafiri semina Morogoro kwenda arusha na boss wake mwanamama coordinator wa UNESCO ,Sasa kumbe muda mrefu...
Ni miaka minne sasa imepita tangu nipotelewa na pete yangu ya ndoa, na wala siwezi kusema ilipoteaje maana hata sijui. ilikuwa weekend nipo na mwenzangu wa ndoa tunaenda site, mara tu tukiwa...
Habari wana jf.
Kiukweli changamoto ya maisha imekuwa kubwa kwa kila mtu ila ugumu wa maisha hautufanyi tuache kusaidia watu pale inapobidi.
Jitahidi ujijenge katika misingi ya kusaidia jamii...
KMtu mmoja alikwaruzana na mkewe kwa sababu alikuwa anahitajika akitoka ofisini kwake ampitie mkewe ofisini pia, kisha waondoke kwenda nyumbani, na hii ndiyo ratiba yao ya kila siku.
Sasa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.