Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Najua hali ni mbaya sana hamna haja ya salamu Wakuu nimesoma nyuzi nyingi na nimezungumza na watu wengi nimegundua kuwa kuna asilimia kubwa ya watu wapo kwenye mahusiano lakini mahusiano hayo ni...
8 Reactions
96 Replies
4K Views
Jumatano njema. Kama kichwa cha uzi kinavyosema,nimeficha sufuria la nyama chini ya kitanda chetu. Mke wangu hana bajeti kila nikinunua mboga lazima agawe gawe hovyo. Sasa leo nilinunua nyama...
2 Reactions
5 Replies
410 Views
Huyo ni mke anamjibu mume kwa ukali kuhusu kutoa talaka au baada ya mapishano madogo tu.
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Hello. Mapenzi yamekufanyia nini ambacho hautakaa usahau Maishani mwako? Kwa upande wangu mimi, nilishawahi kumpenda Mtu kwa Moyo wangu ila alienda kwa mwingine iliniuma sana.
0 Reactions
19 Replies
628 Views
Najihisi nina bahati mbaya maana hili jambo limenitokea mara tatu,imefika mara ya tatu kupendwa na wadada wenye mimba tena kimapenzi,hata sielewi kwanini inajirudia.sielewi ni mkosi au nini,halafu...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo. Katikati ya tracko...
10 Reactions
90 Replies
4K Views
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya...
26 Reactions
199 Replies
31K Views
Hello jf member habari. Kwanza niwashukuru sana kwa watu wote mliweza kunikaribisha mimi mgeni hapa. Japo napokea matusi mara wewe sijui shemale ,wengine wanataka kujua jinsia yangu, mara ooh...
3 Reactions
12 Replies
966 Views
Kutokana na tafiti za maongezi nilizofanaya nao wengi wao nikagundua kumbe ni asili yao kutawaliwa na mwanaume na wanastahili kutawaliwa na mwanaume. Wao wenyewe pia wanakiri Hilo kuwa wanapenda...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu watu? Tukiachana na yule niliekuta kanisevu "KIBERENGE" nikapiga chini,nimeamua kusonga mbele japo bado nawasiliana nae kiaina ila hakomi kuacha kuniita hivyo akinitext tu utaona text...
22 Reactions
107 Replies
8K Views
Naenda Kwenye Maada: Nina Mke Wa Ndoa Tumebahatika Kupata Watoto Wawili Wa Kiume Mmoja Miaka Minne Mwingine Miwili Mienendo Kwenye Ndoa Yangu Naona Kuna Hali Ya Kuja Kutawaliwa Na Mke Wangu...
9 Reactions
112 Replies
6K Views
Kuna kipindi niko Dar nilifahamiana na binti mmoja alikuwa anasoma UDSM (tumwite Jane siyo jina lake halisi) na mm pia nilikuwa nasoma hapo. Sasa yeye alikuwa na changamoto flani iliyomsumbua sana...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna demu nimemtongoza leo leo na kwa bahati nzuri amekubali ila cha ajabu ameshaanza kuniambia mambo ya kwenda kujitambulisha kwao yaani sijachukuwa hata point 3 zangu tayari anataka niende...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni sikitiko la nchi kila mmoja wenu anadai anamtaka anayedate naye awe Tall, Black and Handsome pasipo kujali vitu vya maana kama Ucha Mungu, Heshima, Upendo, Kuwajibik , Uvumilivu. Tafiti...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Hello. Single mother moja kwa moja jamii inawaona kama ni watu wapambanaji sana. Ila niseme Singo mama wengi kwa sasa ni moja ya njia ya Udangaji. Haiwezekani kabisa mwanamke mwenye Tabia na...
3 Reactions
10 Replies
512 Views
Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa. Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni...
15 Reactions
62 Replies
3K Views
Chanzo cha haya yote, ni kutaka kutushawishi sisi wanaume. Kweli mwanamke bila mwanaume hajakamilika. Tazama...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kutokana na wimbi hili kuwa kubwa la hawa binadamu ambao wakiulizwa maswali kuwa kama wanawapenzi .....? Hili jibu la kuwa wapo single na wanafuraha ni Uongo mtupu. Eti "Single and happy"...
3 Reactions
11 Replies
567 Views
Hello. Maisha ni uwekezaji, Turudi kwa mapenzi,umewekeza kitu gani kwenye mapenzi ambacho unadhani kinaweza kukuletea faida. Maana uwekezaji unaenda mojamoja na matokeo chanya na hasi.
1 Reactions
27 Replies
999 Views
Habari wapendwa Hivi ni kweli manzi mvuta bangi anakuwa na mapenzi ya dhati, tofauti na manzi wa kawaida? AU ni akili za BANGI
1 Reactions
82 Replies
3K Views
Back
Top Bottom