Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
....Kwangu binafsi moyo wangu unakuwa na amani/ furaha sana pale ninapomsaidia mtu mpaka kufanikiwa kwake. Karibuni tushirikishane ndugu, vitu/ kitu vinavyokupa amani/ furaha ya moyo......
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ni hivi palikuwa na mwanaume mmoja alikuwa anaishi na mke na watoto watatu wamekuza mpaka mmoja kaoa . Huyo baba alipenda kuvaa nguo nzuri sana na alikuwa anajulikana Kwa kujipenda . Mno Sasa Kuna...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Nawasalimi kwa jina la Muumba..,hiki ni kisa cha Kweli kimetokea miezi kadhaa hapa kwetu mtaani.. Jamaa mmoja tumpe jina k,alitoka kijijini na mke wake na kuamua kuja mjini kwa ajili ya kufanya...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Aisee...ushauri tu kwa vijana wenzangu ..Dunia ya saivi pisi zimekuwa Kero sana... Yani ukitongoza pisi saivi..mda huohuo gesi inaisha,Kodi inaisha...pisi inataka kusuka..mara njaa inauma duu!asa...
25 Reactions
144 Replies
7K Views
Tunakaa geto Moja lakini najua ananicheat. Namuomba game lakini ananinyima lakini Hela zangu anataka kuzila. Nimeshapata habari zake kuwa ananicheat na Mbaya zaidi nilishakutana na CONDOM kwenye...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Nasikitika Sana yaani ninavyosikitika ni zaidi ya masikitiko ya bei ya maharage kuwa SAWA na nyama . Wanaume Hawa wanawake ni pambo ndani ya nyumba. Akikosa kuwa mkali kwake na kumuadabisha...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
a. HAUPO PEKEAKO Haijalishi utakuwa unaamini hauna muonekano mzuri kwa sababu kila mtu anakutoa dosari bado haupo pekeako.Kila mtu unaemjua hajaridhika na muonekano wake. Celebrity unaemuona yupo...
2 Reactions
5 Replies
741 Views
Je ile dhana ya ukipenda boga penda na ua lake. Je mke/mume ataweza kuishi na mtoto wake nyumbani kwenu ili hali mzazi mweziye aliyezaa naye yupo hai. Je kama anaamua kumuacha mtoto kwa mzazi...
1 Reactions
102 Replies
40K Views
Habari za muda huu Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie...
32 Reactions
86 Replies
12K Views
Habari za wakati huu ni mbaya kweli kweli.. Mm hata nigombane vipi na mwanamke sitorudia tena kugoma kula usiku aisee hata kama ni kwa kumpima mwanamke akili yake siwezi rudia kosa la kugoma kula...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Siku hizi wa dada wa mjini mnakatabia kuacha kitambulisho chenu mnapo karibishwa kwenye maghetto yetu. Tumejuana muda mfupi ni mekukaribisha ghetto umekuta kuna kila kitu tena ghetto la mangwear...
5 Reactions
14 Replies
907 Views
Poleni na vumbi na jua kali ... Pindi unapotongoza mwanamke anaonyesha kabisa kukuelewa na anapo kuja kuuliza unafanya kazi gani then unampa jibu la kazi unayo fanya unakosea sana ndugu...
44 Reactions
213 Replies
10K Views
Aisee wanasema milima haikutani lakini Binadamu wanakutana, Hiki ni kisa Cha kweli mwaka huu, Nilisafiri kikazi kwenda mkoani Tanga na Kwa kawaida ni sehemu ambayo huwa naenda mara kadhaa...
32 Reactions
58 Replies
8K Views
Habarini wana jamvi. Kwa kifupi mi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu...
14 Reactions
89 Replies
21K Views
Kijana wa kiume. Ewe mwanaume. Nakuita tena wewe mwanaume mwenye sifa zote za uanaume. Inakuje umeamua kukubali kuudumiwa na mwanamke kwa kila kitu,jamani inasikitisha sana. Mwanaume leo hii...
2 Reactions
12 Replies
867 Views
Hello dadaz. Badilikeni Kubadilisha mwanaume sio guarantee ya wewe kuolewa. How come [emoji23] ladies wanaume watano umewapanga halfu unawaita mabuzi ndo ya kuuhudumie. Leo hii kutoa papuchu...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Hii tabia ya kuwatokea mademu mkiwa na ugwadu ndio inawafanya mchezee mitama ya shingo Kwa sababu mnakosa ujasiri, mnakosa subra kwa sababu unakua driven na ugwadu. Ukiwa na ugwadu unakua...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
Nashauri wizara ya afya ije na kampeni maalumu ya kutoa elimu kwani watu sasa hivi wanaamini ukimwi hauambukizwi na watu condom hawatumii kabisa wanachilimuana kavukavu sio poa
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Watu wakubwa Habari zenu, Nisipoteze muda, kuna bandiko moja nilisoma jamaa analalamika pisi kali kuliwa na Bodaboda. Na kwenye comment watu wengi wana support haiwezekani mtu boya kula au kuoa...
13 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari. Kijana wa kitanzania tafuta hela kwa ajili ya kujikwamua maisha yako binafsi na familia. Achana na drama za kutafuta hela ya ajili ya mwanamke ambaye unachofanya ni probability. Tafuta...
4 Reactions
18 Replies
881 Views
Back
Top Bottom