Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria...
Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake.
Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu...
Hello,
Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla.
Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi.
Kuna wimbi...
Heshima mbele Wana jamvi.
Hope wote mpo salama kabisa.Moja Kwa Moja niende kwenye mada, Kwa kifupi ni kwamba mwaka Jana mwezi wa pili nlikutana na mdada mmoja hivi ambae single mama wa mtoto...
Kweli sijui nyie ila kunawatu wanajali familia zao .sijamaanisha watoto na mke na maanisha baba na mama maana. Huwezi penda mzazi mmoja , .
Kila siku naandika Hivi mama anazaa Kwa uchungu analea...
Wajameni tusaidiane
Huwa nawaza sipati jibu, kwanini ni rahisi kwa wanawake/wasichana kukaa bila nguo hata moja wakiwa pamoja vyumbani au mabwenini ila ni ngumu kwa wanaume/ vijana wa kiume kukaa...
Alioa 2021 nilikuwa mwenyekiti wa kamati kwenye harusi yao lakini pia nilishiriki kupeleka posa kama mshenga. Mtoto ni mzuri sana kwao ni Singida japo born town wa jiji la dar Es salaam, singida...
Nahisi mapenzi yameanza kunichosha sasa. Nimeanza ku-block namba za wapenzi wasiojua kuandika sms.
Hivi mnawezaje ku-date na mwanamke ambaye hajui kutofautisha matumizi ya "r" na "l" katika...
Kwa kawaida upendo wa kweli huwa unajiendesha wenyewe hauhitaji kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu. Kuwa na hakika kuwa hupendwi💔!!
Habari zenu wakuu
Aisee ipo hivi kuna jirani hapa mtaani ana kijana wake anatarajia kuoa mwaka huu hivyo nikapewa mwaliko wa kikao cha kwanza cha harusi ambayo ilikuwa ni weekend.
Ila tokea...
Habari za kwenu??
Ili uwe na amani mda wote,hii inajumuisha wote walio ndani ya ndoa au walio na mahusiano ya kimapenzi.
Mwanamke anaweza kukufanya ukaonekana kidume mbele ya jamii,pia anaweza...
Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe
Nimekaa zangu kwenye siti mtu anakuletea kalio mpaka puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba
Sikutakiana lawama...
jana bujibuji kaleta uzi kwamba wadada wenye hela hawapendwi na wanakosa wenzi wao.
Mimi na manzi wangu wa kishua tunalisongesha kwenye shida na raha. Vijana igeni mfano
Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili...
Safari yangu ya kujitafuta na hatimaye kujitegemea imekuwa tofauti kidogo!
Maisha ya ghetto nilianzia chuo! Wakati huo ilikuwa rahisi sana, pesa ilikuwepo na fursa zilikuwa nyingi. Sikuona ukali...
katika kuelezea hisia za mapenzi, sio lazima kila siku mwanaume tuu ndio awe mwanzilishi wa kusema hisia zake kwa mwanawake, kuna kipindi mwanamke anaweza kufunguka.
achana na vicheche kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.