1. She’ll Wear Sexy Clothes Around You When a girl clothes attractive, which means she is sexually to be had. She’ll wear horny garments because she needs a guy’s interest. Usually, while a lady...
Scientints and others je hii inawezekana? yaani nazungumzia kwa mwanaume lijali kabisaa asiye na shida. Atawezaje kukaa bila nyeto? Yes, kuna wale wazee wa totozi, wao wakikolea wanaenda...
Bila salaaam
Niende moja kwa moja kwenye mada
Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino
Binti...
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya
Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba
Kuna wakati ukafika...
Habarini wanangu wa JF, ni muda sasa sijapost thread.
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule fulani jijini mbeya ilikuwa co-education (boarding).
Sababu ya kuleta kisa...
Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ?
Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa...
Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.
Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake...
Habari za Jumapili wapendwa..
Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada...
Wasalamu wajameni! Maisha ni Raha sana Endapo utaishi bila ya stress.
Mnamo Augost 2022 niliopata baby mama mpya, yaani penzi lilikuwa la kunoga mno. Tunaweza kuongea na simu usiku kucha mpaka...
Jamani nilichogundua maisha ya usingle ni mazuri sana na yanafuraha kuliko maisha ya mapenz mpaka nasema hivi nishafanya tafiti nyingi na pia nina experience je wewe unamtazamo...
Mi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.
Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa...
Habari.
Mimi ni mzee na mgeni humu JamiiForums, mtoto wangu amenifungulia akaunti. Nina humli wa miaka 79 na nina nguvu za kunitosha.
Nina mke wangu ana miaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano...
Kuna Jambo ambalo natamani tukumbushane leo, na Jambo lenyewe linaitwa MWANAMUME. Ikiwa ni mwanaume ama ni mzazi wa mtoto wa kiume si vema kupita bila kusoma huenda ukapata kitu, Karibu.
Nianze...
Kuna binti tulikuwa tunasoma naye
Binti huyo alikuwa mzuri saana wanafunzi wenzangu na baadhi ya walikuwa wana data na uzuri wa binti huyo
Hata mimi pia nilikuwa natamani saana kutoka naye lakini...
Wakuu,
Nimeshangaa sana.
Kuna jamaa mmoja ni mhaya, ana hela hela. Sasa ana guest house kadhaa maeneo tunayoishi.
Huyo jamaa ana mke mrembo, mdogo bado, ndo kwanza alimaliza kidato cha sita...
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama...
Naomba kuwauliza kina dada humu ndani, kuna binti mmoja nilitaka kumuoa lakini akanikatalia kwa kigezo hawezi kuolewa na mimi kwa sababu ni bosi wake.
Kiukweli huyu binti nilitafutiwa na mtu kwa...
Habari za muda huu ndugu zangu
Moja kwa moja acha niende kwenye mada nilikutana na binti mmoja mtandaoni tukaanzisha mahusiano huko baada ya mda kidogo tuliweza kukutana na kuendeleza mahusiano...
Wazee MSAADA kuna Ndugu yetu amekata shauri la Kuoa, na Mke anayetaka kuoa kabila lao ni Wakwere.
Kwa anayejua tamaduni za Wakwere kwenye kupelekewa posa na namna Barua inavyoandikwa (Kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.