Nimesoma post zake za Instagram Sirjeff deniis, inaonekana jamaa he is very smart, huku jf anatumia jina la ontario, ni mchakarikaji, anafanya kazi kwa bidii sana, kama anayoongea ni kweli, bhasi...
Watu wazima wenzangu na vijana mnipwawa!
Tuanze na hili, bi mkubwa anacheza vikoba mzee anamkataza ilhali hana chanzo kingine cha kuongeza mapato isipokuwa vikoba. Kama hiyo haitoshi, siku ya...
Wakuu!
Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi.
Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa...
*INASEMEKANA:*
_*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.*_
*Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.*
_*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa...
Mdada anayekataa kuingia kwenye ndoa kwa kisingizio cha "bado sijakamilisha mambo yangu". Huwa ana maana gani? Anajenga au anafungua biashara? Au nn?
Kwani mambo hayo hawezi kuyakamilisha akiwa...
Vijana hamjambo? Leo niliikuta namba ya rafiki wa kike wa kijana wangu ambaye anapenda kuvaa mno. Inaonekana hakuwahi kumtongoza, na jina la huyo binti nalifahamu anaishi mtaani hapo hapo.
Kama...
Nimekuwa nikiona picha za familia mbalimbali na pale ambapo mmoja wao ana sura au mwili usioumbika vizuri unakuta karibu watoto wotee wanafana na yule mbovu, na yule mzuri anakuwa hajaambulia...
Kuwa na mchepuko ni siri chafu ya mwanamume aliyeko katika ndoa ya - siri hiyo huenda sambamba kwa mwanaume kumdanganya mke wa ndoa kuwa anampenda yeye tu! Akiingia mtaa wa pili ana mchepuko, huko...
Habari,
"But at the end one needs more courage to live than to kill himself" ~Albert Camus
1. USAFI
Ni muhimu kila mmoja wetu kuwa msafi, hii ni kiafya na kukufanya wewe binafsi na...
Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12...
Habari wajumbe na Heri ya mwaka huu mpya.
Mwaka uliopita nilipita nao vizuri sana lakini huku mwishon kabsa kwenye kuufunga na kufungua mwaka bado ni shubili.
Tatizo
Baada ya kwend kusailimia...
SIJAWAHI KUOA NA SIFIKIRII KUOA KABISA "MUIGIZAJI STEVEN NYERERE.
Mwigizaji na Staa wa Bongo movie Kutoka nchini Tanzania Steven Nyerere,amesema kuwa yeye tangu azaliwe hajawahi kuoa na hafikirii...
Wakuu kwema
Kuna mkasa naomba ni share na nyinyi hapa ulinitokea last year. Nilipitia kipindi cha sonona ila badae nilikuja kukaa sawa na sasa hivi life goes on ila siwezi sahau.
Ilikua hivi...
Habari,
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa, nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza...
Naomba Elimu kidogo ukinyimwa unyumba huwa mnafanya nn ??Hakuna ugomvi na mm ni mzima wa afya kabisa show nipo poa kabisa tatizo kubwa huwa ni nn haswa
Mwanamke akifanya hivi unafukuza pasipo mijadala wala kuomba ushauri;
1. Akiku-cheat.
2. Akiwa mshirikina au mchawi.
3. Akikunyima unyumba bila sababu ya msingi au anakupa kadiri anavyojisikia...
Kama walivyo wengine utakumbana na vikwazo vya kila aina katika kuelekea katika kufikia malengo yako ambayo umejiwekea.
Kuna vikwazo mbalimbali ambavyo unatakiwa kukabiliana navyo mpaka kufikia...
Eti wakuu kwa uzoefu wenu kuna mapenzi ya hivi kweli bongo hii? Isije kuwa anaimbaimba tu vitu ambavyo havipo huyu kijana.
na nyie wadada fungukeni. Au anatudanganya tu huyu mwenzenu, Nisije...
Mahakama ya juu nchini Kenya imetoa uwamuzi kuwa wanandoa wakiachana kila mtu ataondoka na mali aliyo pata kibinafsi na kufutiria mbali sheria ya kugawana mali pasu kwa pasu pindi wanandoa wanapo...
Nipo nawaza tu hapa hivi kama umeoa,ni lipi bora pale unapohitaji kuchangamsha mwili na mama watoto yuko mbali na wewe,kuwa na mchepuko au kuishi kununua mbususu (malaya).....?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.