Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada? Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya...
14 Reactions
66 Replies
4K Views
Nimechoka, Najisikia Uchungu sana! Hadi kupika napika!Hello Jane, Sijajua kitu gani kimetokea katika ndoa yetu, tulizoea kuwa na tendo la ndoa mara 3 kwa wiki na sasa ni mara moja kwa miezi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Na hili nalo ikiwezekana mkalitizame kwa jicho yakinifu Nikiwa kwenye kituo fulani hivi cha bodaboda mida ya saa mbili nikiwa naelekea kazini kwangu, ghafla moyo wangu unashtuka baada ya kumuona...
12 Reactions
95 Replies
9K Views
1 Reactions
2 Replies
412 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto...
4 Reactions
113 Replies
14K Views
Tendo la ndoa lina mambo mawili ya muhimu Burudani na kufika kileleni tu. Burudani imebeba udambwidambwi ambao ndio hupelekea mtu kufika kileleni. Tamati ya tendo la ndoa mtu amwage yale maji...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Wadau uzi huu nauleta kwenu.. Nataka niachane nae huyu mwanamke nilonae nilitoa posa tu ya elf 50, mahari sijatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania magetoni. Akakaa miezi miwili watu...
27 Reactions
162 Replies
8K Views
Unapoyaanza maisha yako baada ya kutendwa/kuachwa, huwa ni wewe utayebeba matokeo yoyote yale ya kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii. Unapokuwa peke yako unapambana na upweke, unapambana na...
1 Reactions
0 Replies
350 Views
Ni mambo ya ajabu, kuwa na mahusiano na mtu asiyekuwa na moyo wa kutoa, anayetoa na mnapogombana ama kupishana anadai vitu vyake. Kuna msichana alimpa mwanaume simu, baada ya mwanaume simu yake...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume. Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo...
22 Reactions
229 Replies
10K Views
Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa. Imeelezwa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel. Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu...
18 Reactions
115 Replies
5K Views
Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako! Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo. Lkn midume inaendelea kula...
11 Reactions
86 Replies
4K Views
Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Hivi karibuni na haswa mwaka huu 2023 tumeendelea kushuhudia ndoa za watu maarufu nchini Tanzania zikikumbwa na migogoro kiasi cha kuenea kwenye mitandao ya kijamii, mambo ya faraga yanaanikwa...
2 Reactions
5 Replies
823 Views
1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi, Kumekuwa na wimbo wenye vilio kwa wanaume kuwa hawana nguvu za kiume huku wengne wakiishia kagoli kamoja. Lazima ujue kuwa ngono ni kuwa na hapetaiti au ashki ikiwa apetaiti...
11 Reactions
88 Replies
16K Views
Ilipoishia sehemu ya kwanza; Baada ya hapo Aneth alifurahi kisha kunihudumia vile nilivyohitaji, na baadae nilimwita , nikamwomba namba yake ya simu , nikasepa kwenye mishe mishe. Inaendelea...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndoa ni nusu dini haichezewi mtandaoni kuna watu wanawake wanne ila wako kimya kwa sababu wana fanya kwa ajili ya Allah sio kwa sifa za watu. Shida ni kuwa usipende kuonyesha mafanikio yako ya...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Wazee wenzangu wa kiumeni leo tutete yetu. Ujue kuna wakati unafika inabidi uchukue japo time kidogo kujithaminisha jinsi unavoishi ukilinganisha na umri. Me huwa nakereka sana sana mwanaume wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom