1. Imelala yoo mwamvuli nitaelezea kdogo kuhusu hilo,umuhimu wake kwangu namsamini sana wala sio muongo na ananijali sana tu.mungu amlinde amweke daima anichunge mimi wake,sitamwacha hata iweje...
Kwamujibu wa taarifa za sensa ya mwaka 2022, asilimia 51 ya Watanzania ni Wanawake na 49% ni wanaume.
Iko hivi utafiti wangu niliofanya Kwa kutumia sampuli 100, ulibaini kuwa kati ya wanawake 100...
Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi...
Ndo kusema kuwa siku hizi mmekuwa special sana? Kwamba mmeanza kujiona wa thamani kuzidi wanaume?
Sasa we mwanamke, unayepita karibu yangu, najaribu kuuchongoa mdomo wangu na kukupatia salamu...
Kama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.
Mmoja kati ya marafiki zangu alisema kuwa kuna binti kamnunulia viatu vya manyoya vya elfu tano...
Ukimchoka mwanamke kuna njia nyingi za kumuacha, hii imefanikiwa.
Hanaga mambo mengi, ye akifika gheto huwa ni kuparamia kila kinacholiwa ndio mambo mengine yaendelee.
Last time aliparamia kila...
Wimbi la ma-Tom Boy kwenye miji iliyoendelea nchini hasa Dar ni zao la ulegevu wa wanaume waliopo maeneo hayo. Mwanamke akikunwa kisawasawa kuanzia akiwa na miaka 7 na haswa kama atapata kijana...
Siku Ile unasaini Ile karatasi ya mkataba wa ndoa ni siku Muhimu Sana Wenda kuliko siku zote katika maisha yako yote.
Siku hiyo unasaini mkataba wa Mafanikio yako katika awamu mpya ya maisha au...
Ndugu zangu.
Nawashukuru Sana kwa ushauri na michango yenu mliyonipa kukabiliana na mtoto wa mpenzi wangu ambaye hapendi mahusiano yangu na mama yake.
Nimechambua ushauri wenu na nimefikia...
Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na UKIMWI? Hii sio ishara ya kuchepuka?
HEBU WAKUU JENGA PICHA
Una mwanamke, rafiki yako mmeshibana,
hamna mahusiano ya kimapenzi,mko jiji moja.Wewe unafanya kazi,nae Anafanya kazi, ila ofisi zenu ziko jirani Mitaa ile ile.
MDA wa...
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari
Kitabu...
Wasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza...
Mwanaume mzuri sura ni mtamu kwenye romance afu mwanaume Mwenye sura mbaya ni mtamu kwenye kuduu especially hatua ya kupiz.....afu ajaaliwe mtalimbo.(nadhani waliogundua threesome wana akili...
Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa...
Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake.
(1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa...
Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama...
Hellow
Mimi nasema chips ni chakula kama vile wali hakiongezi kitu chochote mwilini wala kupunguza acheni kudanganywa na wanasayansi wa mchongo kuwa chips et zinapunguza nguvu za kiume iyo ini...
Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wa Kigoma wamekuwa wakiishi katika ndoa zao katika hali ya mateso na manyanyaso makubwa toka kwa wake zao.
Wengi wamekuwa wakipokea vipigo mara kwa mara na...
Nawasalimu!
Kwa muda mfupi wa hapa Jamii Forums nimestaajabu sana baada ya kuona wanaume wakiandika maneno yasiyo na utu wala 'sympathy' kwenye nyuzi za wanaume wanaolalamika kunyanyaswa na wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.