Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Binafsi nilikwazika sana siku rafiki yangu wa karibu aliponisemea kwa watu kuwa mali ninazomiliki zinatokana na majini na kuwaambia wengine wasiwe karibu na mimi na wasinisaidie katika kazi zangu...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu. Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia...
10 Reactions
84 Replies
5K Views
Vijana wengi wamekuwa wanapenda mapenzi kuliko kazi. Leo hii kijana unaweza ukamkuta anafanya kazi pesa yake haionekani inaishia kwa wanawake tu, anashindwa kujihudumia yeye kama yeye kisa ampe...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Nisiwachoshe jamani. Kuna mdada nimempenda, nikaona sio mbaya Kama wazee tukakokotana tufike kanani. Mpenzi wangu ana binti kamaliza chuo majuzi tu, aiseee binti huyu ananichimba mikwara kibao...
8 Reactions
100 Replies
7K Views
Nimejaribu kuomba msaada imeshindikana. Mie nilikuwa sina mpenzi nikawa na mtu friend with benefits. Sasa nipo na chibabu nikasema ngoja nimwambie kuwa mie sio single tena. Weeeh! Akawaka akadai...
2 Reactions
13 Replies
549 Views
Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini? Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Katika moja ya mambo yaliyoyabadilisha maisha ya watu wengi basi ni haka kamchezo ka kitandani. Wewe mwenyewe fikiria jinsi kitendo cha dakika 30 kilivyoyabadilisha maisha yako yote. Ieleweke...
12 Reactions
17 Replies
979 Views
Happy New Year Comrades, Huyu dada wa JF tulianza mazoea kupitia kuchangia threads mbalimbali mwisho wa siku tukaanza kuchat PM, baadae tukabadilishana contacts tukaanza wasiliana, pamoja na...
45 Reactions
352 Replies
13K Views
Hatua zifuatazo zinaweza kukusaidia 1.JIFUNZE TABIA ZA WATU Kama hujui asili ya tabia za watu utaumizwa sana miaka yote.Kwa asili ya tabia za binadamu ni kwamba mtu mwenye sifa ya kusema wengine...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
HABARI ZENU WAKUBWA! Naitwa JAMES YUSTAR Kijana mkakamavu Nimekuwa mfatiliaji wa JF tangu mwaka 2015, kabla ya mwaka Jana kujiunga rasmi. Wakubwa, Leo naomba niwashirikishe changamoto...
12 Reactions
142 Replies
12K Views
Wakuu. Mimi naona mapenzi yaenda kunishinda. Kuna mwanamke ilitokea nilimpa ujauzito mwaka jana nikamwambia usitoe mimi ntalea kipindi hiko niko nae mkoa yeye alikuja kunisalmia na sikujiandaa...
3 Reactions
67 Replies
3K Views
Happy new yeeeeeeeeeeear brothers&sisters Nimekuja kuleta mrejesho. Ni kuhusu yule dada aliyeomba nimkopeshe 50k na nikampa conditions nimegegede miezi miwili kwa wastani wa mara 1 kila siku...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba. Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko. Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea. Hakuwa na makuu kivile ila...
54 Reactions
357 Replies
14K Views
Naombeni ushauri wakuu, Ni Hivi, Nakumbuka Kuna kipind niliwahi kuleta humu kesi ya Brother yetu mmoja (mkubwa kiumri) kumuoa mchumba wa miaka mingi wa rafiki yetu (mdg kiumri) Kama MKE mdogo...
37 Reactions
187 Replies
14K Views
Embe dodo ni aina ya maembe ambayo ni matamu sana. Watu wengi hawajui namna ya kula tunda hili kwa raha na kistaarabu. Leo katika uzi huu nitaeleza namna ya kula embe hili. UTANGULIZI Embe dodo...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna jamaa fulani ambaye ana tabia ya ku comment ujinga kwenye picha za mke wangu na tabia ya kupost picha za mke wangu kwenye messenger day yake nilimuuliza mke wangu akasema ni binamu yake...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi wana Jf ni miezi mitatu sasa tangu nimekuja tanga. Lakini nilivyokuja katika mkoa huu, kuna binti ghafla akawa ni mtu wa kunichangamkia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Si...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
Binti alisema jamaa alimbaka miaka kadhaa huko nyuma baada ya kugundua tunafahamiana. Baharia nikaipotezea kwa sababu kidimbwi naendelea kusugua nikaona haina noma ngoja kawe kaside chick. Sasa...
1 Reactions
8 Replies
613 Views
Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa...
30 Reactions
54 Replies
6K Views
Mapenz ni kitu cha ajabu sana unaweza ukampenda mtu na usimjue alivyo. Ngoja niwape story wanangu kitu kilichonikuta me katika muhusiano na uyo bint. Nimempenda dem kupitia njia ya simu...
9 Reactions
95 Replies
6K Views
Back
Top Bottom