Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Usithubutu kunusa maua special ni hatari aisee ni matamu sana na yanavutia haswa ukijali kuyaonja nakuapia hauta chomoka na kama una mke hautarudi kwenu mimi yamenikuta unique 💐 ni maua matamu...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada...
4 Reactions
19 Replies
866 Views
NB: Siyo lengo langu kumdhalilisha yeyote, ila ni kueleza namna inavyowezekana kuwala hawa dada zetu kirahisi ukitumia tu akili ya mlevi. Leo tumekubaliana na huyu slay queen baada ya kuomba...
13 Reactions
184 Replies
9K Views
Kondomu ni kifaa/zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana. Kwa kawaida kifaa/zana hiyo hubana kufuatana na umbile la uume au uke. Historia Matumizi ya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika dunia hii kuna makundi mbali mbali ya watu na sifa zao. Kuna wanaume ambao waliojaribu kuingia katika ndoa na ikawavuruga mpaka kufanya maamuzi ya kuachana na wake zao au kuna...
3 Reactions
150 Replies
13K Views
Hizi ni baadhi ya sheria nilizojifunza ambazo naamini na wewe zitakusaidia. Ikiwa unatamani kuishi maisha ya majuto au umaskini, basi zipuuzie sheria hizi. 1. Sheria ya kutengeneza fedha...
3 Reactions
10 Replies
828 Views
Tukio lilikuwa hivi, Mida ya saa nne hivi asubuhi nilijikuta nikipepesuka baada ya kumuona mwanamke mrembo kuwahi kuwepo duniani. Moyo ulipiga Pah! Huwa sina kawaida ya kutongoza kiholela kama...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
My friend came to visit with her sister, who had just graduated from TTC and was looking for those private schools. We spoke, had dinner and they left. The sister promised to come back and visit...
2 Reactions
8 Replies
797 Views
Wakuu nilimchukua mwanamke na kuishi nae kipindi cha miaka minne, ila alikuja kubadilika baada ya kuanza kazi ambayo niliyomtafutia ili naye apate sehemu ya kupata ridhiki. Maana siyo siri mimi...
9 Reactions
89 Replies
5K Views
Morng Happy new year in advance Single mama baadhi yenu hamjitambui bado sana kwasababu wewe unajijua single mama then unaenda kumtambulisha mtoto mpenzi wako muite baba usiwe na uwakika kama...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Kauli hii ni kauli inayonichanganya sana. Mimi ni msichana, nimekuwa na mahusiano na mpenzi wangu sasa inapata miaka miwili na hakuna siku ambayo ameshawahi nikataza kushika simu yake na wala...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Guys habari Acha niwaibie siri hawa wanawake weusi so sweeto yaani wana ladha ya kipekeee achana na hawa wanao jichubua hadi mapaja. Mwanamke mweusi ana joto af sasa ni watundu sana mpaka...
16 Reactions
158 Replies
7K Views
Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja...
11 Reactions
96 Replies
5K Views
Tuwalee watoto wetu katika njia ipasayo kuwaepusha kuwa viroboto maishani Maisha yanazidi kuwa magumu kwa vijana wengi huku wengi walitamani kutimiza ndoto zao ama kutamani kumiliki vitu vya anasa...
24 Reactions
120 Replies
11K Views
Nimekaa nikitafakari mapito ktk maisha, kama ilivyo ada kuna kupanda na Kuna kushuka! Nilikuwa nimepigika ile mbaya, sina hata 10,000 nikaangalia ka premio changu hakina hata mafuta, basi...
22 Reactions
59 Replies
4K Views
Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo. Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa...
7 Reactions
591 Replies
20K Views
Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana. Baadhi ya wanaume wengine wanaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Najua Najua niliandika uzi kuhusu wanawake waache kuchagua wanaume kama wamefikisha umri kuanzia 31 kwenda juu Leo naomba niongee na wanaume Wanaume sikuhizi ndio sijui tuseme mmechoka au maisha...
36 Reactions
361 Replies
78K Views
Back
Top Bottom