Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati?
Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri?
Twende kazi...
Habari za usiku wana JF,
Mimi ninachangamoto ya kukosa hamu na mwanamke nikiwa naye, na hii hali ni wiki ya pili inaenda, naweza lala usiku mzima isisimame. Nikaenda hospitali nikapima daktari...
USIMWAMINI MWANAMKE HATA SIKU MOJA!
TRUE STORY
Nilikutana na Sharifa mwaka 2015 akiwa anafanya kazi mgahawani maeneo ya posta ya zamani. Nilipomuona tu siku ya kwanza nikampenda. Baada ya siku 3...
Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza.
Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi...
Habarini wana Jamii Forums!
Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida!
Kuna mwamba hapa alitokea zake...
Bwana yesu asifiwe,
Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia 🇪🇹 pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna...
Miaka ya nyuma ilizoeleka/ilikuwa ni ngumu sana kulea watoto wa kike kwenye jamii zetu ukilinganisha na watoto wa kiume.
Jamii ilikuwa na hofu kwamba anaweza kurubuniwa na wakora wasiofaa...
Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa.
Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya...
Hali! Sifa ni kama zifuatazo na LAZIMA awe nazo ZOTE. Isipungue hata moja. Wadada ukiona huna sifa hata moja please potea usije hata PM sikuhitaji;
1. Awe ni mweupe, chocolate au maji ya kunde...
Habari ya muda huu wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya...
Ama kweli huyu demu ananipenda sana sijui kwanini halafu ukistaajabu mimi sijawahi kumpa chochote kile zaidi ya kumla mbususu ttu yeye ni mzungu na hapa bongo alikuja kama internship katika...
Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha?
Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche?
Je, Mimi ni...
Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu...
Hellow,
Sijui kuandika naomba tuvumiliane
Juzi hapa walikuja watoto wa dada yangu home sasa tulikaa tukapika tukala.
Sasa ilipofika mda wa kula mtoto kagoma kula mpaka soda inunuliliwe.
Mama...
Pepo ni roho wachafu au wabaya wenye nguvu za kishetani wanaoweza kumshawishi mtu atende mabaya na hata kumwingilia kwa lengo la kumharibia maisha yake kiroho na kimwili.
Roho hizo huweza kufikia...
UTANGULIZI
Kwetu hapa Tanzania kilimo ni uti wa mgongo. Hata duniani kote watu wanategemea mazao yatokanayo na kilimo. Kwetu hapa Tanzania tumekuwa na kilimo cha jembe la mkono kwa muda mrefu...
Habari za asubuhi mbaya.
Mimi ni kijana ninaetarajia kujitwalia mwanamwali hivi karibuni ila katika harakati za utafutaji wa mke mwema najikuta na hali mbaya inanitokea hivyo Naombeni msaada...
Habari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu...
Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.