Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
2020 Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu. Maskani ya vijana wengi...
32 Reactions
66 Replies
4K Views
Nianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Kuna siku Niko club ya usiku nacheza macho yangu yakaangukia kwa mdada flanj hivi alikuwa beautiful kweli Sasa katika kumchombeza akawa amekubali bwana akanieleza yeye anaishi pekee yake kwake khy...
47 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanawake wasasa… Jamani kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi ukigombana nae tu anakushafisha vitu vyote na bado anahitaji matuzo ya mtoto, serikali imewakingia kifua wamekuwa na kiburi sana.
11 Reactions
78 Replies
2K Views
Jamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond [emoji1534]
21 Reactions
59 Replies
4K Views
Jamani ndugu zangu hasa sisi wanaume, tuna mengi mno tunapitia Hivi utajisikiaje unakufa juu ya kinena cha hawara? Ni aibu kiasi gani utaiachia familia yako? Tuache ama tupunguze kununua malaya...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Baada ya kushauri Vijana wa Karne hii ya 21+ mambo ya kuzingatia ili wasijekuuwa na kujiweka matatizoni, Leo nitamalizia na Wanawake ili mambo haya yapungue. Andiko hili...
13 Reactions
17 Replies
3K Views
Morng friends, Sikia niwaambie kitu ambacho wengi wanakijua hila wanakificha au wanaogopa kukili kwamba ndio hali halisi. Mapenzi hisia na utundu wako ukitaka wanawake wakupende au upige sana...
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Habar wakuu, Kuna Jamaa mmoja alikua ni msomi msomi Sana. Alipofikisha Miaka 30 net akawa ndo kamaliza chuo kikuu na kuingia rasmi mtaani kusaka ajira. Hapa na pale uko mitaani Kuna binti...
27 Reactions
253 Replies
26K Views
Mimi ni mwana JF wa siku nyingi japo niliacha kutumia JF na KUDELETE ACCOUNT 2016. Na 2018 nilirudi kwa staili ya kusoma habari za JF kwa "KUFOLLOW LINK" kutoka FB (bila Ku log in MAANA SIKUA NA...
4 Reactions
79 Replies
8K Views
Ex wangu aliniacha mimi na kukimbilia kwa jamaa fulani kisa jamaa ni mtu mwenye pesa nyingi. Wakati mimi ndo nilimtowa kijijini na kumleta mjini ila cha ajabu mazuri yote haya walisau yeye na...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wananzengo salamu kwenu. Kuna jambo nakaa nalifikiria sipati jibu na sijui mwenzangu anawaza nini na ana nia gani. Nilikuatana na huyu mwanamke mwaka 2011 nikiwa chuo na Yeye yupo tu kitaa baada...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Habar za saa hizi jameni... Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in...
10 Reactions
197 Replies
14K Views
Dah aisee mi kiburi tu hawa watu kiburiiiiii
15 Reactions
212 Replies
9K Views
Ukisikia ndoa nusu ya dini tafsiri yake ndo hiyo. Jaribu lililorahisi, au jipange kukabiriana na kubwa. Yote yawezekana.
1 Reactions
8 Replies
471 Views
Msichana uyu katika picha alikaa miaka 25 bila kuwa na mahusiano alikuwa akisubiri mwanaume atakaye kuwa tayari kumuoa, kweli alifanikiwa kumpata na baada ya miezi kadhaa walifunga ndoa kubwa tu...
4 Reactions
6 Replies
606 Views
Happy new year wakuu, Hivi ni kweli kuwa sikuizi mapenzi ni expensive au tunatishana tu? Tokea nijiunge JF sikuizi naogopa hata kusimamisha manzi njiani nikiwa sina hela, maana humu story ni kuwa...
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Huyu ananipigia simu kuwa kipigo kimemchosha, ajabu hataki kuondoka hapo kwa mmewe sijui labda anauogopa mtaa? Umasikini unatisha sana, kijana kataa ndoa. Huyu mdomo wake na gubu ndiyo...
3 Reactions
9 Replies
503 Views
Kuna watu wanapotoshana humu kwamba tusioe mzae tu. Sasa wewe umekuwa paka, kama tu ndege, kama njiwa huu na njiwa mwenzake na mke na mume, wewe ni nani? Nakumbusha tu wakati wa kuoa tusiangalie...
0 Reactions
13 Replies
487 Views
Wadada wana mahusiano ya wazi na ya siri kama ilivyo kwa wanaume. Kwa sasa si mlokole wala sister du wa club,wote wana wapenzi wengi na wakiwahitaji wanawatafuta kwa siri kupitia mitandao mbali...
1 Reactions
14 Replies
885 Views
Back
Top Bottom